Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV 2025
Makala

Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV 2025

Kisiwa24By Kisiwa24April 25, 2025No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV, Azam TV ni mojawapo ya huduma maarufu za televisheni za kulipia barani Afrika. Huduma hii inatoa vifurushi mbalimbali vinavyokidhi mahitaji na bajeti tofauti za wateja. Ikiwa wewe ni mteja wa Azam TV na unataka kubadilisha kifurushi chako, basi makala hii itakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya hivyo kwa urahisi na haraka.

Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV

Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV

Vifurushi vya Azam TV

Azam Tv inatoa huduma zake kwa kufuata vifurushi (Azam Packages) ambapo vifurushi hivyo vimegawanywa kwa makundi tofauti tofauti kulingana na chaneli zilizopo kwa kila kifurushi na idadi ya chaneli kwenye kifurushi ndio huleta utofauti wa bei kutoka kifurushi kimoja hadi kingine.

Hapa chini tumekuwekea aina ya vifuirushi na bei zake;

1.Azam Lite -Inajumla ya Chaneli 80+ kwa gharama ya Tsh 12,000 kwa mwezi mmoja

2. Azam Pure – Inajumla ya chaneli 85+ kwa gharama ya 19,000 kwa mwezi

3. Azam Plus – Inajumla ya chaneli 95+ kwa ngarama ya Tsh 28,000 kwa kila mwezi

4. Azam Play – ina chaneli 130+ na gharama yake ni Tsh 35,000 kwa mwezi

Vifurushi vya zida vya Azam Tv

1. Saadani – Chaneli 30+ kwa Tsh 12,000

2. Mikumi – chanell 35+ kwa Tsh 19,000 kwa mwezi

3. Ngorongoro – Chaneli 40 kwa Tsh 28,000

4. Serengeti – Chaneli 50+ kwa Tsh 35,000

Hivyo basi kulingana na vifurushi tulivyo viainisha hapo juu, wewe kama mteja wa kisimbuzi cha Azam TV unaweza hitaji kuhama kutoka kwenye kifurshi unachotumia kwa wakati huu na kwenda kwenye kifurushi kingine, Kama Huelewi ni njinsi gani unaweza kuhama basi hapa chini tunaenda kukupa maelekezo ya hatua kwa hatua utakazopitia ili kuhama kutoka kifurushi kimoja cha Azam TV kenda kifurushi kingine.

Faida za Kubadilisha Kifurushi

Kabla hatujaingia kwenye hatua za kubadilisha kifurushi, ni muhimu kuelewa faida za kufanya mabadiliko:

  1. Kuboresha Maudhui: Unaweza kufurahia chaneli zaidi au maudhui bora zaidi yanayokidhi mahitaji yako.
  2. Kupunguza Gharama: Ikiwa bajeti yako imepungua, unaweza kuchagua kifurushi cha bei nafuu.
  3. Kurekebisha Matumizi: Unapata nafasi ya kubadili kifurushi kulingana na vipindi unavyopenda kutazama.

Mahitaji ya Kubadilisha Kifurushi

Kabla ya kuanza mchakato wa kubadilisha kifurushi, hakikisha una:

  • Namba ya akaunti yako ya Azam TV.
  • Salio la kutosha kwenye akaunti yako kulipia kifurushi kipya.
  • Kifaa kinachoweza kufikia mtandao kama simu, kompyuta, au tablet.

Njia za Kubadilisha Kifurushi cha Azam TV

Kwanza unahitaji kuwasha switch yako, kisha unahitaji kulipa! Ikiwa unataka kuongeza pesa kupokea kifurushi kikubwa cha Tsh 18,000 na una kifurushi kidogo ambacho hakijaisha, kwa mfano Tsh 10,000, LAZIMA ulipe Tsh 10,000 ndani ya masaa 72 yaliyopita. Kwa mfano, ikiwa ulilipa jana na unataka kuhamisha leo, unahitaji tu kuongeza Tsh 8,000. Baada ya hapo, ingiza *150*50*5#.
(Chagua lugha.)

  1. Kiswahili

(Bonyeza nambari 2)

  1. Badilisha kifurushi

(Ingiza nambari ya kadi)

(Chagua kifurushi)

  1. Pure

(Chagua nambari 1)

  1. Badilisha mara moja

Utapokea ujumbe wa maandishi unaoonyesha kama ombi lako limekubaliwa au la! Ikiwa masaa 72 yamepita, lazima ulipe kiasi kikamilifu cha kifurushi husika, kwa mfano unataka Tsh 18,000, unalipa Tsh 18,000 kisha ufuate hatua hizo.

Au itabidi usubiri hadi kifurushi chako kiishe! NB: Lipa au hamisha kifurushi siku 1 au 2 kabla ya mechi unayotaka kuangalia ili kuepuka usumbufu!

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)

1. Je, ninaweza kubadilisha kifurushi wakati wowote?

Ndiyo, unaweza kubadilisha kifurushi wakati wowote, lakini ni muhimu kuhakikisha kuwa una salio la kutosha kwenye akaunti yako.

2. Je, salio lililobaki kwenye kifurushi cha awali litahifadhiwa?

Salio lililobaki halihamishwi kwenye kifurushi kipya. Kwa hivyo, inashauriwa kumaliza muda wa kifurushi cha awali kabla ya kubadilisha.

3. Je, kuna gharama za ziada za kubadilisha kifurushi?

Hakuna gharama za ziada zinazotozwa kwa kubadilisha kifurushi, ila utahitajika kulipa gharama ya kifurushi kipya.

Hitimisho

Kubadilisha kifurushi cha Azam TV ni mchakato rahisi unaoweza kufanyika kupitia simu ya mkononi, tovuti, au kwa msaada wa wakala. Kwa kufuata hatua zilizotajwa hapo juu, unaweza kuboresha uzoefu wako wa kutazama televisheni na kupata maudhui yanayokidhi mahitaji yako. Ikiwa unakumbana na changamoto yoyote, usisite kuwasiliana na huduma kwa wateja wa Azam TV kwa msaada wa haraka.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleWafungaji Bora CAF Champions League 2024/2025
Next Article Form Four Mock Exams 2024 All Regions
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025504 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.