Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki, Muundo wa barua ya Kirafiki, Mfano wa Barua ya kirafiki, Ndugu karibu katika kurasa hii ambayo itaenda kukupa maelekezao ya kina juu ya jinsi ya kuandika barua ya kirafiki wa usahihi huku tukiangazia vitiu vya kuzingatia wakati wa uandishi wa barua ya kirafiki,muundo wa barua ya kirafiki unavyakua na mfano wa baraua ya kirafiki.
Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki
Je unahitaji kumuandikia barua rafiki yako na unahitaji kufahamu jinsi gani ya ya kuandika barua ya kirafiki au ni uundo gani unaotumika katika uandishi wa barua ya kirafiki? basi usiwe na hofu kwani makala hii itaenda kukupa mwongozo sahihi ya uandishi wa barua ya kirafiki na huku kikikuonyesha mfano harisi wa barua ya kirafiki.
Muundo wa Barua ya kirafiki
Muundo wa barua ya kirafiki huzingatia mambo makuu yafuatayo
1. Anwani ya Mwandikaji
Anuni ya mwandi hii uandikwa upande wa kulia mwa karatasi juu ikiwa na jina la mwandishi, mahari anapoishi, sanduku la posta la mwandishi pia hujuisha na namba ya simu ya mwandishi
2. Tarehe
Tarehe huandikwa chini ya Anuani ya Mwandishi upande wa kulia ikionyesha siku barua ilipoandikwa
3. Mwanzo wa Barua
Mwanzo wa barua hili ni eneo amablo mwandishi wa barua hutoa utangulizi wa barua yake kwa kutoa salamu za awali. Sehemu hii huandikwa chini kidogo ya tarehe kwa upande wa kushoto.Mwanzo wa barua hua ni aya ya kwanza ikibeba salamu za mwandishi wa barua kwa mwandikiwa/mpokeaji.
4. Kiini cha Barua
Kiini cha barua ndio sehemu kuu ya barua kwani hapa ndio hubeba lengo kuu la barua.Mwandhi hutumia sehemu hii kuweza kutoa maelezo ya kilicho mfanya kuandika barua hiyo, mfano taarifa za ugonjwa, salamu mwaliko,au taarifa zozote zile amabazo mpokeaji alipaswa kuzipata.
5. Hitimisho
Hii ni sehemu ya kumalizia barua huwa ni aya inayojitegemea baada ya aya ya kiini cha barua hapa mwandishi huitimisha barua yake kwa kutoa salamu za mwisho na maelezo ya ziada kuhusu lengo lililomsukuma kaundika barua hiyo kama kiini kilivyoainisha.
6. Mwisho wa Barua
Hiki ni kifungo cha barua amabacho huundwa na maneno maalumu ya kufungia barua kama vile wako Mpendwa….,Rafiki yako mpendwa, Ndugu yako.., Wasalaam….
Mfano wa Barua ya Kirafiki
Hapa chini ni mfano wa barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wa barua ya kirafiki unavyokua
Umuhimu wa Barua ya Kirafiki
Barua ya kirafiki ni muhimu sana kwa kupashana habari na kujiliana hari, barua hii huenedelea kudumisha uhusiano uliopo kati ya mwandishi na mpokeaji wa barua. Ili kuweza kuandika barua bora na yenye tija ya kirafiku huna budi kuzingatia muundo wa barua ya kirafiki kama tulivyoweza kualezea hapo juu.
Muundo wa barua ya kirafiki ndio muhimili mkuu wa barua hii na barua nyingine. Kila unapofikilia kuandika barua ya kirafiki basi ni lazima kuanza kwa kufikilia juu ya muundo wa barua ya kirafiki kwani ndio kinacho tofautisha kati ya barua ya kirafiki na barua nyingine.
Hitimisho
Tunatuamaini ya kua kupitia makala hii fupi ya jinsi ya kuandika barua ya kirafiki, utakua umeejifunzi jinsi ya uandishi wa barua bora ya kirafiki kw kufuata muundo harisi wa barua ya kirafiki kitu kinacholeta utofauti na barua za aina nyingine.