Jezi Mpya Za Simba SC Kimataifa Msimu Wa 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika mkala hii fupi inayoinda kukupa mwomngozo wa jezi mpya za klaba ya Simba za michezo ya kimataifa kwa msimu wa 2024/2025
Jezi Mpya Za Simba SC Kimataifa Msimu Wa 2024/2025
Kuelekea kuanza kwa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa msimu wa 2024/2025 kwenye hatua ya makundi, klabu pekee inayoshiriki mashindano hayo kutokea Tanzania Simba SC imetangaza kuzindua jezi zake mpya sitakazotumika katika mashindano hayo ya kimataifa ya kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Msemaji wa Simba SC Ahamed Ally amesema jezi mpya za klabu hiyo za michezo ya kimataifa zitazinduliwa siku ya jumatano 20 Novemba 2024 katika shrehe zitakazofanyika kwenye duka la Sandaland ilinalopatikana Sandaland Tower kinondoni
Ahamed aliongezea kwa kusema sherehe hizo zitaanza majila ya saa nne asubui huku wakati sherehe hizo zikiendelea jezi hizo zitakua tauari zinapatikana madukani, hivyo mashabiki wanaohitaji kukunua jezi hizo basi siku ya tarehe 20 kuanzia saa nne asubui wanaweza kupita katika maduka na kununua jezi hizo.

Sherehe ya uzinduzi wa jezi hizo mpya za Simba Sc itarushwa live kupitia kituo cha matangazo chenye dhamana ya kurusha matangazo hayo cha Azam Tv.
Jezi Mpya Za Simba SC Kimataifa Msimu Wa 2024
Hapa chini ni picha na mwonekano wa jezi mpya za klabu ya Simba katika mashindano ya kimataifa kombe la shirikisho A frika 2024/2025
Kundi la Simba Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Simba SC ndio klabu pekee kutoka Tanzania inayoshiriki katika michuano ya kombe shirikisho Barani Afrika kwa msimu huu wa 2024/2025. Simba Sc imepangwa katika kundi A.
Kundi A linaundwa na timu nne amabzo ni;
- Simba SC (Tanzania)
- CS Sfaxien (Tunisia)
- CS Constantine (Algeria)
- FC Bravos do Maquis (Angola)
Ratiba Ya Mechi za Simba Kombe La Shirikisho Afrika 2024/2025
Simba SC inatalajia kucheza michezo 6 katika hatua ya makundi kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku mchzo wake wa kwanza utakua dhidi ya FC Bravos do Maquis Tarehe 27 Novemba 2024 utakao fanyika katika uwanja wa Benjamini mkapa jijini Dra es Salaam.
Kwa ratiba yote ya Simba SC kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika BONYEZA HAPA