Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Habari»Iran Yaua 18 Shambulio la Israel October 1
Habari

Iran Yaua 18 Shambulio la Israel October 1

Kisiwa24By Kisiwa24October 14, 2024No Comments1 Min Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Iran Yaua 18 Shambulio la Israel October 1

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

Wa Israel 18 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya shambulio kali lililofanywa na Iran mnamo tarehe 1 October mwaka huu. Iran iliweza kutuma zaidi ya makombola 180 nyenye aina ya balisti kwa inchi ya Israel yaliopelekea vifo vya watu 18 na majeruhi

Kutokana na shambulio hilo imepelekea Uingereza kuweza kutangaza vikwazo la baadhi ya maafisa wa kijeshi wa taifa la Iran.  kufuatia shambulio hilo.

How Israel managed to intercept '99 per cent' of Iran's drone and missile  attack - ABC News

Waliowekew vizui ni pamoja na

  • Abdolrahim Mousavi – Ambaye ni kamanda wa jeshi la Iran
  • Hamid Vahedi – kamanda wa jeshi la anga la Iran
  • Mjumbe wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran

Vikwazo vilivyowekwa kwao ni pamoja na kutokusafiri nje ya nchi na mali zao zote kuzuiliwa, hayo yameweza kusemwa na wizara ya mambo ya nje ya Uingereza.

Taarifa kutoka Israel zinasema makombora mengi yaliweza kuzuiliwa wakati yalipokua yakifanya shambulizi kutokea Iran.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleJinsi Ya Kujiunga na Vifurushi vya Tigo
Next Article Jinsi Ya Kuweka Salio la Muda wa Maongezi TTCL
Kisiwa24

Related Posts

Habari

Fahamu Kinachoendelea Kuhusu Kesi ya P Diddy

October 14, 2024
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025442 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025438 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.