TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara

Filed in Michezo by on December 11, 2024 0 Comments

Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Klabu ya Yanga ni moja ya klabu maarufu zaidi Tanzania na Afrika kwa ujumla.Yanga Sc imeanzishwa February 11, 1935, Inamakazi yake katika jiji la Dar es Salaam. Klabu ya Yanga inamajina ya utani kama vile Wananchi Fc; Vijana Stars (The Young Stars); Wananchi (kiboko).

Toka kuanzishwa kwake imekua ikishiriki katika kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara ambayo kwa sasa inajulikana kama NBC Premier League. Kwa sasa klabu ya yanga inahudumiwa na kocha Sead Ramović.

Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC

Hapa chini ni miaka ambayo klabu ya Yanga iliweza kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC toka kuanzishwa kwake mwaka 1935.

2023/2024

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 80

2022/2023

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 78

2021/2022

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 74

2016/2017

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 68

2015/2016

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 73

2014/2015

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 55

2012/2013

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 60

2010/2011

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 49

2008/2009

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 28

2007/2008

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 80

2006

  • Yanga ilichukua ubingwa kwa pointi 70

Makombe mengine amabayo Yanga aliweza kuyachukua kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara ni yale ya mwaka;

  1. 2005
  2. 2002
  3. 1997
  4. 1996
  5. 1993
  6. 1992
  7. 1991
  8. 1989
  9. 1987
  10. 1985
  11. 1983
  12. 1981
  13. 1974
  14. 1972
  15. 1971
  16. 1970
  17. 1969
  18. 1968

Tangu mwaka 1968 hadi sasa klabu ya Yanga imechukua makombe 27 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara na ndio imekua klabu yenye historia ya kua klabu iliyochukua makombe mengi zaidi ya ligi ya NBC Tanzania Bara.

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *