WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Fei Toto Rasmi Kutua Simba Sc

Filed in Uncategorized by on May 30, 2025 0 Comments

Hatimae kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Feisal Salum Addallah (Fei Toto) inaelezwa kua tayari amelidhia kusajiliwa na Simba Sc baada ya kuwekewa dau kubwa la usajili ikiwa ni pamoja na mshahara kwa mwezi na marupurupu.

Usajiri wa Feisal Salum Simba, Mshahara wake na Marupurupu

Ada ya Usajili; Milioni 800

Mshahara kwa Mwezi; Milioni 50

Pesa za Ziada; Bonasi kwa kila goli na Assist

Baada ya Feisal Salum kukubali kusajiliwa na klabu ya Simba kwa sasa Simba ipo kwenye makubaliano ya mwisho na klabu ya Azam ili kukamilisha zoezi la usajili kwa kiungo mshambuliaji huyo.

Azam kwa upande wao pia wako tayari kumuachia nyota huyo kwenda kujiunga na klabu ya Simba Sc.Pia taarifa za ndani kutoka kwa memeja wa Feisal Salum Addallam ameeleza ya kua hakuna kipengele chochote kinachoeleza kua usajili wa Feisal Salum kwenda Simba klabu ya Yanga itapewa gawio la fedha.

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *