Dar es Salaam Form Mock Exams 2024 with Marking Schemes PDF Download, Mock Exam Form Four Dar es Salaam 2024 with Marking Schemes, Habari katika page hii utapata uwezo wa kuweza kudownload Mock Exam Form Four Dar es Salaam 2024 with Marking Schemes buree kabisa.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Kama wewe ni mwanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2025 na unsoma somo la Geography basi huna budi kudownload mtihani wa mock wa somo la Geography kwa mkoa wa Dar es Salaam ili kuweza kujipima uwezo wako.
How To Download Mock Exam Form Four Dar es Salaam 2024 with Marking
Ili kuweza kupakua mitihani ya mock kidato cha nne mkoa wa Dar es Salaam huna budi kufuata hatua hizi hapa chini
1. Kwanza kabisa ukiwa katika ukrasa huu tafadhari shuka chini hadi utakapokuta orodha ya masomo
2. Kutoka kwenye orodha ya masomo unaweza kubonyeza somo unalotaka kudownload mtihani wake wa mock 2024
3. Baada ya kubonyeza somo page mpya itafunguka ya ukrasa wa Google drive.
4. Ukotaka kwenye ukrasa wa google drive angalia alama ya kundowload na uibonyeze na mtihani utajipakua na kujiifadhi kwenye kifaa chako.
Dar es Salaam Form Mock Exams 2024 with Marking Schemes PDF Download
Hapa chini ni mitihani ya mock ya kidato cha nne 2024 kwa masomo yote, bonyeza kwenye somo unalotaka kudownload ili kuweza kulipakua kwenye kifaa chako;
Biology
Biology is derived from two Greek words, that is, bios which means life and logos or logia which means study or knowledge. Aspects of biological science range from the study of molecular mechanisms in cells, to the classification and behaviour of organisms, how species evolve and the interaction of ecosystems. Biology often overlaps with other related applied and natural sciences such as agriculture, medicine, physics, chemistry, and astronomy. Biology, therefore, refers to the study of life.
Chemistry
Chemistry is all around us. Did you know that everything is made out of chemicals? Any reaction taking place in body cells of all living and non living organisms correlates with chemistry. In chemistry we study materials that make up the earth and universe. Chemistry is sometimes called the central science because it bridges other natural sciences, including physics, geology and biology. Therefore, when talking bout chemistry, we are referring to life on Earth.
Bookkeeping
Bookkeeping is the recording, on a day-to-day basis, of the financial transactions and information pertaining to a business. It ensures that records of the individual financial transactions are correct, up-to-date and comprehensive. Accuracy is therefore vital to the process.
Civics
Civics is the study of theoretical and practical aspects of citizenship, their rights and duties to each other and to the Government. It involves the study of people’s way of life including political and cultural aspects such as education processes, religion, election processes, customs and language. It aims at providing people with important skills like leadership skills among many others. Civics is all about people’s political, social and cultural life.
Commerce
Commerce is the conduct of trade amongst economic agents. Generally, commerce refers to the exchange of goods, services or something of value, between businesses or entities. From a broad perspective, nations are concerned with managing commerce in a way that enhances the well-being of citizens, by providing jobs and producing beneficial goods and services.
English
English Language is a course taught in both primary and secondary schools in Tanzania. There are various topics taught in English Language with an intention of sharpening listening skills, speaking skills, reading skills and writing skills of the learners. The four skills are essential for teaching and learning in other subjects as well as communication in general.
Geography
Geography is the study of places and the relationship between people and their environment. Geographers explore both the physical properties of the Earth’s surface and the human societies spread across it.In the context of dynamic and changing world, it is very crucial to study Geography so as to be able to achieve sustainable human development.
History
History is a study of past, present and future events of a particular period, country or subject pertaining to human activities. Generally, history is all about studying the past events to understand the present situation in order to predict the future events.
Kiswahili
Kiswahili ni Lugha ya kibantu; inatumika kama lugha ya taifa au rasmi katika baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kama vile Tanzania, DRC, Kenya, Burundi, Rwanda na Uganda. Hadi hivi sasa lugha ya Kiswahili inakadiriwa kuzungumzwa na watu zaidi ya milioni 60 duniani kote. Mataifa mengine ya Afrika yanayozungumza Kiswahili ni pamoja na Comoro, Zambia, Malawi na Msumbiji. Kiswahili pia kinazungumzwa katika baadhi ya nchi za Kiarabu kama vile Yemen, UAE n.k
Mathematics
A group of related sciences, including algebra, geometry, and calculus, concerned with the study of number, quantity, shape, and space and their interrelationships by using a specialized notation
Physics
Physics is one of the branches of Science that investigates and explains about the several aspects of nature and how nature behaves differently. It involves the study of interactions between matter and energy. It uses the concepts like forces, energy, mass and motion to explain how things happen around us. Physics uses measurement and experimental procedures to test the observations so as to come up with desired results.
(CLICK HERE TO DOWNLOAD)
How to View Your Downloaded Mock Exam Form Four Dar es Salaam 2024 with Marking
Baada ya kudownload Mock Exam Form Four Dar es Salaam 2024 with Marking mitihani hii itajiifadhi kwenye kifaa chako, ili kuwweza kuifungua na kuanza kuisoma unaweza kufuata hatua zifuatazo;
Kama umedownload mitihani hii ya form four kidato cha nne mkoa wa Dar es Salaam 2024 kwa simu au komputa, basi unaweza kufuata hatua hizi hapa chini ili kuweza kufungua na kusoma mitihani uliyo ipakua;
1. Fungua kifaa chako ulichotumia kudownload
2. Kisha nenda kweny upande wa uhifadhi (Storage)
3. Tafuta file lililoandikwa Download
4. Fungua hilo fili kisha ndani tafuta mtihani uliodownload
5. Ukisha upata ubonyeze na utafunguka
NB;
Kumbuka mitihani hii iko kwenye mfumo wa PDF hivyo basi hakikisha kifaa chako kinauwezo wa kufungua mafile yenye mfumo wa PDF hasa kama unatumia simu.