Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga

Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga

Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga, Klabu ya Yanga SC imetangaza uteuzi wa Saed Ramovic kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo. Ramovic, raia wa Ujerumani, anaingia Yanga akiwa na uzoefu mkubwa katika ulimwengu wa soka.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Cv ya Sead Ramovic

Sead Ramovic ni mzaliwa wa ujerummani na katika maisha yake ya kisoka alihudumu katika nafasi ya gilikipa na baada ya kustafu kucheza mpira alianza kutumikia michezo kama kocha huku akiwa na leseni ya juu ya UEFA Pro na kunako mwaka wa 2015 Sead Romavi aliweza kuhudumu kama kocha msaididi katika timu ya Novi Paza

Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga
Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga

Taarifa Binafsi za Sead Romavic

Jina Kamili; Sead Ramović

Tarehe ya Kuzaliwa/Umri ;14 Machi 1979 (Miaka 45)

Mahali alipozaliwa; Stuttgart, Ujerumani

Uraia; Ujerumani na Serbia

Leseni ya Ukocha; Leseni ya UEFA Pro

Mfumo Anaoupenda; 4-2-3-1

Wakala Wake; Mir Sport

Muda Kua kama Kocha; Miaka 3.13

Uzoefu Wake Kama Kocha

Sead Ramovic anauzoefu wa kutosha aliohudumu kama kocha katika timu tofauti tofauti kama vile

Klabu Kuteuliwa Mwisho Mechi PPM
3. 24/25 (Nov 15, 2024) 0.00
2. 21/22 (Oct 1, 2021) 104 1.28
1. 15/16 (Jul 1, 2015) 20/21 (Dec 31, 2020) 0.00

Kocha Sead Ramovic anajiunga na klabu ya wanajangwani Yanga SC na kushiliki mchezo wake wa kwanza kutoka klabu bingwa Afrika utakaofanyika kwenye uwanja wa Benjamini mkapa.

Nini Matarajio Ya Wanayanga

Mshabiki wa klabu ya Yanga wanamatarajio makubwa juu ya kocha mpya Sead Ramovic kwakua kwa kipindi hiki kifupi klabu ya Yanga imepitia wakati mgumu kidogo kwa kua na matokeo mabovu kwenye ligi kuu ya NBC kwa kupoteza michezo takribani 2 mmoja na Azam FC na mwingine na Tabora United.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025

2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025

3. Jezi Mpya Za Simba SC Kimataifa Msimu Wa 2024/2025

4. Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

5. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!