Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA

CV ya Feisal Salum Abdallah (Fei Toto)

Filed in Michezo by on May 30, 2025 0 Comments

CV ya Feisal Salum Abdallah (Fei Toto)- Wasifu wa Feisal Salum Abdallah, Hapa tutaangazia kwa undani kuhusu wasifi na Cv ya mchezaji mpya wa Simba kwa upande wa CV, Umri na Historia yake.

CV ya Feisal Salum Abdallah

Kiufupi Makala hii inatoa taarifa nyingi kuhusu mchezaji wa huyu mpya wa Simba Sc, Fei Toto, ikianza na picha zake, wasifu wake (CV), pamoja na ombi kwamba Umri wa Feisal Salum uendelee kubaki nasi.

Feisal Salum, kiungo wa kati, ni Mtanzania aliyezaliwa na kukulia visiwani Zanzibar. Alianza taaluma yake ya soka huko Zanzibar, ambako ndiko alianza kucheza, kabla ya kuhamia Tanzania mwaka 2018 kujiunga na klabu ya Yanga kutoka klabu ya JKU.

Jina: Feisal Salum Abdallah (Fei Toto)
Tarehe ya Kuzaliwa: 11 Januari 1998
Utaifa: Mtanzania
Lugha: Kiingereza/Kiswahili
Nafasi: Kiungo wa kati/Mshambuliaji (Namba 10)
Miguu Anayotumia: Yote, lakini zaidi mguu wa kulia

Taarifa Binafsi

Jina kamili: Feisal Salum Abdalla

Tarehe ya kuzaliwa: 11 Januari 1998 (miaka 27)

Mahali alikozaliwa: Zanzibar

Urefu: 1.78 m (futi 5 inchi 10)

Nafasi anayocheza: Kiungo

Miguu Anayotumia: Yote, lakini zaidi mguu wa kulia

Safari Ya Soka

Timu ya sasa: Azam F.C.
Namba: 6

Kazi ya Soka ya Kikubwa (Senior career)

Miaka | Timu | Mechi | Magoli
2016–2018 | JKU | — | —
2018–2022 | Young Africans | — | (32)
2023– | Azam F.C | — | (24)

Safari ya Soka Kimataifa

Miaka | Timu | Mechi | Magoli

2017– | Zanzibar | 13 | (1)
2018– | Tanzania | 45 | (4)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
error: Content is protected !!