Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo» CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025  Saa Ngapi?
Michezo

 CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025  Saa Ngapi?

Kisiwa24By Kisiwa24January 4, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

 CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025  Saa Ngapi? Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa ratiba ya muda fani mechi ya Simba dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia itachezwa.

Leo 05/01/2025 Mnyama Simba yuko Tunisia akisubili kuingia dimbani kukipiga dhidi ya klabu ya CS Sfaxien kwenye mechi ya roundi ya 4 katika michuano ya CAF Confederation Cup hatua ya makundi.

Mchezo huu ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo uliowakutanisha miamba hii miwili katika jiji la Dar es Salaam tarehe 15 Decenber na Simba Kuibuka na Ushindi wa goli 2 kwa moja goli la ushi la Simba likifungwa kunako dk 8 baada ya dk 90 kutamatika na Kibu Denis.

 CS Sfaxien vs Simba  Leo 05 January 2025  Saa Ngapi?

Hapa chini tuanenda kujibu swali lao juu ya muda gani mchezo wa Simba vs  CS Sfaxien utaenda kuchezwa

1. CAF Confederation Cup

2. Kundi A

3. Mchezo wa Roundi ya 4

4. CS Sfaxien vs Simba

5. Uwanja wa; Stade Olympique Hammadi Agrebi

6. Sudani

7. 19:00 Pm

Hapo juu ni taarifa za muhimu kuhusu mchezo huu wa CAF Confederation Cup unaozikutanisha klabu 2 kutoka katika kundi A.

Nafasi ya Simba Kwenye Kundi A

Hadi sasa Simba SC wamecheza michezo 3, katika michezo hiyo ameshinda michezo 2 na kupoteza mchezo 1, hivyo basi mchezo huu ni muhimu sana kwa Simba kuweza kushinda kwani yuko katika nafasi ya 3 akiwa sawa pointi na walioko ju yake wote wanapointi 6 kama atashinda mchezo huu atakua na pointi 9 huku akiombea walioko juu yake kupoteza mchezo au kutoa sare kama walioko juu wataishia na matokeo ya sare kisha Simba akashinda basi atakua anaongoza kundi A.

Matarajio ya Mashabi wa Simba.

Mashabiki wengi wa klabu ya Simba wanaimani na timu yao kuweza kushinda mchezo huu, hasa ukizingatia Kibu Denisi tayari kesha rudi kwenye kikosi, pia Elie Mpanzu atakuwepo uwanjani hivyo ni matumaini ya juu kua Simba itashinda mchezo huu ili kuweza kuendelea kujihakikishia nafasi ya kufudhu hatua ya robo fainali.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

2. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

3. Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara

4. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025

5. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 (EPL Fixtures 2024/2025)

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleRATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025
Next Article Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025443 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025441 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.