MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Collector Job Vacancy at Luckywell Limited April 2025
TAARIFA YA KAZI
NAFASI: MKUSANYAJI
ENEO: DAR ES SALAAM, TANZANIA
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Mhitimu wa kidato cha nne
- Lazima ajue kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili
- Leseni ya udereva
- Lazima ajue kuendesha pikipiki
- Umri kati ya miaka 20-35
- Lazima awe na cheti cha kazi kutoka kazini awali
- Watu wote wa kutoa ushahidi (referees) lazima wawe Dar es Salaam
- Waombaji wote wanatakiwa kuleta nyaraka zao (CV, Barua ya Maombi, Leseni ya Udereva, Barua ya Utambulisho kutoka serikali ya mtaa, Vyeti vya elimu, Cheti cha kuzaliwa, Barua ya Ushauri kutoka kwa referees) ofisini kwetu, iliyoko MIKOCHENI, BARABARA YA NGORONGORO-NYUMBA NAMBARI 18.
MAELEKEZO YA KUPELEKA MAOMBI:
- CV zote zinapokelewa kutoka Jumatatu hadi Jumamosi
Mawasiliano: 0679 799 999
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA