NAFASI ZA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025 (BOFYA HAPA)

_________________________________________________

BARUA YA KUOMBA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025(BOFYA HAPA)

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Kwa nafasi mpya za kazi kutoka utumishi, Ajira Portal, Serikalini na kutoka kwenye makampuni mbalimbali Tanzania.

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 01 July 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 1, 2025 0 Comments
PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 01 July 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 21-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania PLC

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 1, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Airtel Tanzania PLC

Airtel Tanzania PLC ni kampuni ya simu za mkononi na huduma za dijiti inayojulikana sana nchini Tanzania. Kampuni hii ni sehemu ya Airtel Africa, ambayo inaendesha shughuli za mawasiliano katika nchi nyingi za Afrika. Airtel Tanzania inatoa huduma mbalimbali kama vile simu, intaneti, na malipo ya pesa kwa mkono kupitia Airtel Money. Kwa miaka mingi, […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Vodacom Tanzania

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 1, 2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi Vodacom Tanzania

Vodacom Tanzania ni moja kati ya kampuni za simu za mkononi zinazoongoza nchini Tanzania. Kampuni hii, ambayo ni sehemu ya Vodacom Group iliyoko Afrika Kusini, imekuwa ikiwapa wananchi huduma bora za mawasiliano kwa zaidi ya miaka 20. Vodacom Tanzania inajulikana kwa mtandao wake wa kina na huduma mbalimbali kama vile M-Pesa, ambayo imesaidia kuleta mabadiliko […]

Continue Reading »

MFANO wa Barua ya Maombi ya Kazi Uchaguzi Mkuu 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 30, 2025 2 Comments
MFANO wa Barua ya Maombi ya Kazi Uchaguzi Mkuu 2025

Katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC/NEC) imeitisha ajira za muda kwa ajili ya kusimamia vituo vya kupigia kura, wilaya, majimbo, na ngazi nyingine. Waombaji wanatakiwa kuwasilisha Barua ya Maombi ya Kazi Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tanzania ikiwa na sifa zinazohitajika. Makala hii inalenga kuwaongoza waombaji kwa […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi ya Muda INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 30, 2025 0 Comments
NAFASI za Kazi ya Muda INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2025

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, […]

Continue Reading »

Mfano wa Barua Ya Kuomba Kazi Utumishi (Ajira Portal) 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 30, 2025 1 Comment
Mfano wa Barua Ya Kuomba Kazi Utumishi (Ajira Portal) 2025

Kuandika barua ya kuomba kazi kupitia Utumishi ni hatua muhimu kwa wahitimu na wataalamu wanaotafuta nafasi serikalini. Mfano mzuri na muundo sahihi unaweza kuongeza nafasi yako ya kujulikana na kualikwa kwenye usaili. Umuhimu wa Mfano wa Barua Ya Kuomba Kazi Utumishi(Ajira Portal) Barua ya maombi inapaswa kuwa rasmi, fupi, na yenye lugha ya kitaaluma. Inapotumia […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Mufindi District council

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 29, 2025 0 Comments
NAFASI za Kazi Mufindi District council

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 na kibali cha ajira mbadala chenye […]

Continue Reading »

Nafasi za Kazi Mlimba District council

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 29, 2025 0 Comments
Nafasi za Kazi Mlimba District council

Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imepata Kibali cha kutekeleza Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 April, 2025. Katika kutekeleza kibali hicho Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba anawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye sifa za kujaza […]

Continue Reading »

MATAGAZO Muhimu kwa Waomba Kazi UTUMISHI Leo

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 29, 2025 3 Comments
MATAGAZO Muhimu kwa Waomba Kazi UTUMISHI Leo

KWA NAFASI ZA KAZI  UTUMISHI BONYEZA HAPA Sekretarieti ya Ajira ni chombo muhimu chini ya Wizara ya Kazi, Vijana, Wanaume na Wenye Ulemavu nchini Tanzania. Jukumu lake kuu ni kusimamia mchakata wa ajira na uteuzi wa watumishi wa umma kwa njia ya uwazi, haki na ufanisi. Sekretarieti hiyo inaongoza na kuratibu taratibu zote za kuajiri […]

Continue Reading »

NAFASI 145 za Kazi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 28, 2025 5 Comments
NAFASI 145 za Kazi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ni taasisi ya serikali inayoshughulikia usimamizi na uboreshaji wa bandari za Tanzania. TPA ilianzishwa mwaka 1967 na ina jukumu la kuhakikisha kuwa bandari zake zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya uchumi wa nchi. Bandari kuu zinazosimamiwa na TPA ni pamoja na Bandari ya Dar es Salaam, Bandari […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!