Michezo
CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc
CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc,Usajili wa Fahidi Bayo Yanga, Klabu ya Yanga iko mwinshoni kuweza kumsajili mshambuliaji wa taifa la Uganga Fahad Bayo kam mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na timu aliyokua akiitumikia. CV ya Fahad Aziz Bayo Mchezaji Mpya wa Yanga Sc Fahad Bayo tayari amesha […]
Ratiba ya Mechi za Leo Jumatano 18/12/2024
Ratiba ya Mechi za Leo Jumatano 18/12/2024 Habari ya leo mwanamichezo wa kisiwa24 blog karibu katika makala hii ya kimichezo itakayoenda kukuangazia juu ya ratoba ya michezo ya leo kutoka pande mbalimbali za dunia ikiwemo ligi kuu ya NBC Tanzania bara. Leo Jumatano 18/12/2024 ligi mbalimbali duniani zinaendelea kutimua vumbi na hapa tutaenda kukuonyesha michezo […]
Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024
Kikosi cha Simba VS KenGold Leo 18/12/2024 Habari mwana Simba SC hapa tutaenda kukuonyesha kikosi kitakachoenda kucheza KenGold katika mechi ya leo 18/12/2024 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC. Simba inarudi kwenye ligi kuu baada ya kusimama kwa muda kidogo ili kushiriki kwenye michuano ya kombe la shirikisho Barani Afrika. Leo Simba inaikaribisha klabu […]
Matokeo ya Simba SC Vs KenGold Leo 18/12/2024
Matokeo ya Simba SC Vs KenGold Leo 18/12/2024 Baada ya kutoka kwenye kombe la shirikisho kwa ushindi wa 2-1 CS Sfaxien, Simba SC wanalejea kwenye ligi ya NBC kwa kukalibisha KenGold Hapa katika posti hii utapata wasaha wa kufuatilia matokeo ya Simba SC vs Ken Gold mchezo wa ligi kuu ya NBC Mpendekezo ya Mhariri; […]
Ratiba ya NBC Championship Tanzania 2024/2025 Ligi Daraja la Kwanza
Ratiba ya NBC Championship Tanzania 2024/2025,Msimamo wa ligi daraja kwanza Tanznia, Ligi ya NBC Championship Tanzania 2024/2025 Ni miongoni mwa ligi maafuru nchini Tanznaia baada ya ligi kuu ya NBC. Kwa msimu wa 2024/2025 ligi daralaja la kwanza Tanzania (NBC Championship) inatarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL […]
Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara
Idadi Ya Makombe Alioshinda Yanga kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Klabu ya Yanga ni moja ya klabu maarufu zaidi Tanzania na Afrika kwa ujumla.Yanga Sc imeanzishwa February 11, 1935, Inamakazi yake katika jiji la Dar es Salaam. Klabu ya Yanga inamajina ya utani kama vile Wananchi Fc; Vijana Stars (The Young Stars); Wananchi […]
Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars)
Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars), Habari mwanamichezo toka tanzania,kweye makala hii tutaenda kukuonyesha wachezaji 4 amabo wamecheza mechi nyingi zaidi wakiwa na timu ya Taifa stars, timu ya taifa ya Tanzania. Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars hivi karibuni imekua na mafanikio ya kutosha hata kiufikia […]
Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Nafasi ya Simba Kombe la Shirikisho, Msomao wa kundi A kombe la shirikisho 2024/2025,Habri mwanasoka wa Kisiwa24 Blog, kaeibu katika makala hii fupi itakakayoenda kukuonyesha msimamo wa kundi A, kundi la Simba kombe la shirikisho Afrika 2024/2025. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, […]
Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025, Msimamo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika , Hapa tutaenda kutazama msimamo wa kundi A katika michuanao ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions League) JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA. Kama wewe ni shabiki wa timu yoyote ile iliyoko kwenye kundi A […]
Kikosi cha Yanaga Vs MC Alger 07 December 2024 Klabu Bingwa Afrika
Kikosi cha Yanaga Vs MC Alger 07 December 2024 Klabu Bingwa Afrika Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha kikosi cha klabu ya yanga kitakachoenda kucheza dhidi ya MC Alger ya nchini Algeria. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA. Yanga SC imesafiri hadi Algeria […]










