Michezo

Kikosi cha Yanga vs Kagera Sugar leo 01/02/2025

Filed in Michezo by on February 1, 2025 0 Comments

Kikosi cha Yanga vs Kagera Sugar Leo 01/02/2025 Katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, leo tarehe 1 Februari 2025, Young Africans (Yanga) itakutana na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa KMC. Mchezo huu unaanza saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Maandalizi ya Yanga kuelekea Mechi dhidi ya Kagera Sugar Kocha […]

Continue Reading »

Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi?

Filed in Michezo by on February 1, 2025 0 Comments

Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi? Kama ni miongoni mwa watu wanaojiuliza kuhusu juu ya saa ngapi mechi ya Yanga na Kagera Sugar itacheza wakati gani siku ya Jumamosi, basi hapa katika kurasa hii utaenda kukupa mwongozo kamili wa mchezo huu wa kiporo ligi kuu ya NBC 2024/2025. Baada ya kusimama […]

Continue Reading »

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025

Filed in Michezo by on January 30, 2025 0 Comments

Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025, Habari siku ys jumamosi ya tarehe 01/202/2025 mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC watakua nyumbani katika uwanja wa KMC Complex wakiikalibisha klabu ya Kagera Sugar kutokea jijini Kagera. Mchezo huu ni mchezo wa kumalizia hatua ya mzunguko wa kwanza ambao haukufanyika hapo awali […]

Continue Reading »

Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Suger 01 February 2025

Filed in Michezo by on January 30, 2025 0 Comments

Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar 01 February 2025, Bei ya tiketi mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Jumamosi 01/02/2025, Habari karibu katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kukupa mwongozo wa viingilio kwenye mchezo wa kipolo wa ligi kuu ya NBC utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 01/02/2025 kwenye uwanja wa KMC […]

Continue Reading »

Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?

Filed in Michezo by on January 30, 2025 0 Comments

Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi? Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukuonyesha muda wa mchezo wa Tabora Uts vs Simba SC Leo 02 february 2025. Baada ya Ligi kuu ya NBC kusimama ili kupisha michuano ya CHAN iliyokua ikifanyika Zanzibar hatimaye inalejea tena kwa kuanza […]

Continue Reading »

Tazama Hapa Makundi ya AFCON 2025 

Filed in Michezo by on January 28, 2025 0 Comments

Tazama Hapa Makundi ya AFCON 2025 Baada ya timu 24 kuweza kufuzu kucheza michuano ya AFCON kwa mwaka 2025 hatimae Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo tarehe 28/01/2025 limechezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya AFCON 2025 yatakayofanyika nchini Morocco mwezi December 2025.   Makundi hayo yameweza kupangwa kwa kila kundi kua na timu 4 […]

Continue Reading »

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025

Filed in Michezo by on January 26, 2025 0 Comments

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025, Orodha ya vilabu vilivyofuzu hatua ya robo fainali CAF Confederation CUP 2025. Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya kimichezo itakayoenda kuangazia juu ya timu ambazo zimefuzu kwenda hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la shirikicho barani Afrika […]

Continue Reading »

Ratiba Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/2025

Filed in Michezo by on January 23, 2025 0 Comments

Ratiba Ya Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/2025 , Ligi ya Mabingwa ya UEFA, mashindano ya klabu bora zaidi Ulaya, inarejea kwa msimu wa 2024/2025 ikiwa na mabadiliko makubwa na hamu kubwa ya mashabiki. Msimu huu mpya unaleta muundo mpya wa mashindano, timu zaidi, na michezo zaidi ya kuvutia kwa mashabiki wa soka duniani kote. Ratiba […]

Continue Reading »

Msimamo Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/2025

Filed in Michezo by on January 23, 2025 0 Comments

Msimamo Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/2025 , UEFA Champions League Standing 2024/2025, Habari mwana Kisiwa24 Blog karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kuangazia juu ya msimamo wa ligi ya Mabingwa Ulaya inayofahamika kama UEFA Champions League. Kama wewe ni shabi wa soka basi sina shaka kua lazima utakua miongoni mwa […]

Continue Reading »

MATOKEO Simba vs CS Costantine Leo 19/01/2025

Filed in Michezo by on January 19, 2025 0 Comments

MATOKEO Simba vs CS Costantine Leo 19/01/2025 Habari ya leo mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu tena kwenye kurasa hii itakayoenda kukupa matokeo ya mchezo wa roundi ya 6 kwenye hatua ya makundi kufuzu robo fainali kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2024/2025. Mchezo huu utafanyika Jijini Dar es Salaam kunako majira ya saa 10:00 za […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!