NAFASI ZA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025 (BOFYA HAPA)

_________________________________________________

BARUA YA KUOMBA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025(BOFYA HAPA)

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Michezo

KIKOSI cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025

Filed in Michezo by on June 24, 2025 0 Comments
KIKOSI cha Simba vs Yanga Leo 25 June 2025

Kuelekea mchezo wa mwisho wa kuhitimisha ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025 kati ya Yanga dhidi ya Simba mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa, hapa tunakuletea kikosi rasmi cha Simba Sc kitakachoenda kucheza dhidi ya Yanga Sc. Maelezo ya Mchezo Ligi; Ligi kuu ya NBC (2024/2025) Mchezo: Mchezo wa 184 […]

Continue Reading »

Kocha anayelipwa mshahara mkubwa Tanzania

Filed in Makala, Michezo by on June 23, 2025 0 Comments
Kocha anayelipwa mshahara mkubwa Tanzania

Mpira wa miguu ni mchezo wenye umaarufu mkubwa nchini Tanzania. Pamoja na ushindani kutoka kwa wanariadha, makocha huwa katikati ya mafanikio ya timu. Leo, tunachambua makocha wa mpira wa miguu wanaolipwa mishahara mkubwa Tanzania, tukifafanua kiwango cha malipo, tofauti kati ya makocha wa timu za klabu na taifa, na mienendo ya hivi karibuni. Kama Makocha […]

Continue Reading »

Makocha Wanaolipwa Mishahara Kubwa Duniani 2025

Filed in Makala, Michezo by on June 23, 2025 0 Comments
Makocha Wanaolipwa Mishahara Kubwa Duniani 2025

Katika ulimwengu wa soka, si wachezaji tu wanaopata fedha nyingi—makocha wao pia wanapata mishahara ya juu. Makala haya yanaangazia makocha wa mpira wa miguu wanaolipwa mishahara kubwa duniani mwaka 2025, pamoja na uchambuzi wa sababu zinazosababisha ushawishi wao. Diego Simeone – Atlético Madrid Mshahara wa mwaka 2025: takribani £25.9 m (≈$33.5 m) Simeone ndiye kocha anayelipwa zaidi […]

Continue Reading »

Mshahara wa kocha wa Simba Sc

Filed in Michezo by on June 23, 2025 0 Comments
Mshahara wa kocha wa Simba Sc

Kocha Fadlu Davids amejiunga rasmi na Simba SC kwa mkataba wa miaka miwili tangu Julai 2024 kwa lengo la kurudisha ushindi wa timu ndani na nje ya Tanzania. Makubaliano hayo yanahusisha mshahara wa kuvutia, unaohusiana na mafanikio. Mkataba wa miaka miwili Simba SC ilitangaza rasmi uajiri wa Fadlu Davids kuanzia Julai 2024 kwa miaka miwili. Uongozi wa Simba, […]

Continue Reading »

VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc 25 June 2025

Filed in Michezo by on June 23, 2025 0 Comments
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc 25 June 2025

Baada ya michezo ya round ya 30 ya ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025 kumalizika siku ya jumapili ya tarehe 22 june 2025. Tarehe 25 Taifa linaenda kushuhudia Derby ya Kariakoo baina ya klabu ya Yanga na Simba. Mchezo huu kwa timu hizi mbili ni mchezo wa kiporo utakaoenda kukamilisha michezo […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 22, 2025 1 Comment
MATOKEO ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 22 June 2025

Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kwa michezo 8 itakayocheza kwenye viwanja 8 tofuti tofauti. Michezo hii ni michezo ya round ya 30 michezo ya kufunga ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025.     Kulekea kumalizika kwa ligi hii ya NBC Tanzania bara kisiwa24 blog itakuletea matokeo ya michezo […]

Continue Reading »

MATOKEO Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 22, 2025 0 Comments
MATOKEO Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025

Baada ya kupata ushindi wa goli 5 kwa 0 dhidi ya KenGold kwenye mchezo uliopita 18/06/2025 leo klabu ya Simba inaenda kukamilisha mchezo wake wa round ya 29 ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam dhidi ya Kagera Suger. Kuelekea mcheo huu leo Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huu tutakuletea matukio na matokeo […]

Continue Reading »

KIKOSI cha Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 22, 2025 0 Comments
KIKOSI cha Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025

Leo Jumapili ya tarehe 22 June 2025 klabu ya Simba itaikaribisha klabu ya Kagera Sugara katika uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC. Kuelekea mchezo huu klabu ya Simba kwa namna yoyote ile inahitaji ushindi ili kuendelea kua na matumaini ya kuchukua ubingwa […]

Continue Reading »

VIINGILIO Yanga vs Dodoma Jiji 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 21, 2025 0 Comments
VIINGILIO Yanga vs Dodoma Jiji 22 June 2025

Kuelekea mchezo wa round ya 30 kati ya Yanga Sc vs Dodoma Jiji, Klabu ya Yanga tayari imesha tangaza viingilio hivyo kwa wampenzi na mashabiki wa soka watakao hitaji kwenda kutazama live mchezo huo. Mchezo huu ni mchezo wa mwisho kwa klabu ya Dodoma jiji kwenye kuhitimisha ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025 […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025

Filed in Michezo by on June 21, 2025 0 Comments
MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025

Leo tarehe 22 June 2025 tunaenda kushuhudia mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC mchezo utakaozikutanisha timu 2 kati ya Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji. Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huuu tutakuletea matukio na matokeo ya mchezo huu live hapa. Unachotakiawa kufanya ni kutembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kuweza kutazama […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!