Makala

Historia ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Filed in Makala by on May 25, 2025 0 Comments

Historia ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Jakaya Mrisho Kikwete ni mwanasiasa maarufu wa Tanzania aliyetumika kama Rais wa nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka mwaka 2005 hadi 2015. Alizaliwa tarehe 7 Oktoba 1950 katika kijiji cha Msoga, wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Historia ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete Elimu na Maisha ya […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Cheti cha Kuzaliwa Mtandaoni 2025

Filed in Makala by on May 25, 2025 0 Comments

Jinsi ya Kutuma Maombi ya Cheti cha Kuzaliwa mtandaoni, Je, unahitaji cheti cha kuzaliwa lakini huna muda wa kwenda ofisi za serikali? Usijali! Serikali imerahisisha mchakato huu kwa kutoa huduma za kutuma maombi ya cheti cha kuzaliwa mtandaoni. Katika makala hii, tutakueleza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya hivyo. Jinsi ya Kutuma Maombi ya Cheti […]

Continue Reading »

Orodha ya Kampuni za Kubeti Tanzania 2025

Filed in Kampuni Za Kubeti Tanzania, Makala by on May 25, 2025 0 Comments

Orodha ya Kampuni za Kubeti Tanzania, Tanzania imeshuhudia ukuaji mkubwa wa sekta ya michezo ya kubashiri matokeo (betting) katika miaka ya hivi karibuni. Kampuni nyingi zimeingia kwenye soko hili, zikitoa fursa mbalimbali za kubeti kwa wananchi. Hapa chini ni orodha ya kampuni zinazojulikana za kubeti nchini Tanzania: Orodha ya Kampuni za Kubeti Tanzania 1. 888bet […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kujisajili Wasafi Bet 2025

Filed in Kampuni Za Kubeti Tanzania, Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Jinsi ya Kujisajili Wasafi Bet, Jinsi ya Kujisajili Wasafi Bet, Wasafi Bet ni moja ya majukwaa maarufu ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Kama unataka kuanza safari yako ya kubashiri michezo kupitia Wasafi Bet, huu ni mwongozo kamili wa jinsi ya kujisajili. Jinsi ya Kujisajili Wasafi Bet Hatua za Kujisajili 1. Fungua Tovuti ya Wasafi […]

Continue Reading »

Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2025

Filed in Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Kampuni ya Apple baada ya kutoa iPhone 16 Pro hapo hapo wakatoa tole jingine la iPhone 16 Pro max ambapo hii ni zaidi ya ile ya Pro, Ubora katika iPhone 16 Pro Max uliongezwa zaidi na ndio maana tukamua kukuletea bei halali ya simu hii ambalo ni maboresho ya matokeo ya iPhone 16 Pro. Kama […]

Continue Reading »

Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania 2025

Filed in Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania, bei ya simu ya iPhone 16 Pro leo Tanzania, Habari mwana Kisiwa24 blog, karibu tena katika makala hii fupi ambaoyo itaenda kukuonyesha makadilio ya bei ya iPhone 16 Pro Tanzania. Kama wewe ni mpenzi wa kutumia simu za kampuni ya Apple basi utakua umesha sikia kuhusu simu ya iPhone […]

Continue Reading »

EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2025

Filed in Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini kwa mwezi Aprili, zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 02 Aprili 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi huu, gharama za uagizaji mafuta (premiums) zimepungua kwa wastani wa asilimia 6.08 kwa mafuta ya petroli, asilimia 7.09 kwa […]

Continue Reading »

Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu 2025

Filed in Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Viwango vipya vya mishahara ya walimu serikalini, viwango vya mishahara ya walimu, Habari mwana habarika24, karibu katika makala hii mambayo kwa kinaitaenda kukuelezea juu ya viwango vya mishahara ya walimu serikalini. Kama wewe ni mwalimu na unakaribia kuajiliwa au ni mwajiriwa katika shule za serikali basi ni muhimu kuweza kufahamu kiwango cha mshahara wako kulingana […]

Continue Reading »

Afisa Maendeleo ya Jamii na Majukumu Yake

Filed in Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Afisa maendeleo ya Jamii, Huyu ni mtendaji katika jamii ambaye kazi yake kuu ni kusimamia na kuhakikisha utekelezaji wa shughuli za kimaendeleo kakita jamii husika. Afisa maendeleo ya jamii hufanya kazi kwa kuasidia na watu pamoja na jumuia nyingine ili kuhakikisha mipango yote ya maendeleo katika jamii inafanikiwa kwa uykarobu. Mfano afisa maendeleo ya jamii […]

Continue Reading »

Vyeo vya Jeshi la Magereza Tanzania

Filed in Makala by on May 24, 2025 0 Comments

Vyeo vya Jeshi la Magereza Tanzania Jeshi la Magereza Tanzania (TPS) lina jukumu kubwa katika kudumisha sheria na utulivu ndani ya mfumo wa urekebishaji nchini. Sawa na huduma nyingi zilizo na sare, TPS ina muundo wa daraja uliobainishwa vyema na safu mbalimbali zinazoashiria mamlaka, wajibu na uzoefu. Chapisho hili la blogu linalenga kutoa maelezo ya […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!