Makala
0614 ni Code ya Mtandao Gani Tanzania?
Ukiona namba inayoanza na 0614, inaashiria mtandao wa Halotel Tanzania. Katika mfumo wa namba za simu Tanzania, “06xx” ni prefix ya mitandao ya simu za mkononi, na 0614 hayo yanamilikiwa na Halotel kupitia TCRA Mfumo wa Namba za Simu Tanzania +255 – Msimbo wa nchi kwa simu za kimataifa. 06x – Prefix za mtandao wa simu za […]
0698 ni Code za Mtandao Gani Tanzania
Nambari za simu za Tanzania zina msimbo wa nchi (+255), ukifuatiwa na tarakimu tatu zinazotambulisha mtandao (prefix), kisha nambari ya mteja yenye tarakimu 7. Code hizi hukabidhiwa na TCRA kama sehemu ya mipango yao ya kitaifa. Je, 0698 inatambulisha mtandao gani? Mitandao maarufu nchini Tanzania pamoja na code zake zinaweza tuonekana kwenye splash screen za […]
0699 ni Code za Mtandao Gani Tanzania
Ikiwa umepokea simu au SMS kutoka namba inaanza na 0699, unaweza kushtuka – 0699 ni code za Mtandao Gani Tanzania? Kwa mujibu wa taarifa za hivi majuzi, namba zote zinazotangulia kwa 0699 hutumika na Airtel Tanzania. Hivyo basi ukipewa ujumbe au kupigiwa simu na namba inayotangulia na 0699, ndilo dalili yakusema kuwa mtumiaji wake ni […]
0677 Ni Mtandao Gani wa Simu Tanzania
Katika ulimwengu wa mawasiliano ya simu nchini Tanzania, kila namba ya simu huanza na prefix (mwanzo wa namba) maalum inayotambulisha mtandao wa simu unaotumika. Moja ya maswali yanayoulizwa sana mtandaoni hivi sasa ni “0677 ni mtandao gani wa Simu Tanzania?”. 0677 Ni Mtandao Gani wa Simu Tanzania? Namba 0677 ni ya mtandao wa Yas/Tigo Tanzania. […]
Barua ya Maombi ya Hati ya Kusafiria
Katika dunia ya sasa ya utandawazi, kuwa na hati ya kusafiria ni muhimu kwa watu wanaotaka kusafiri nje ya nchi kwa sababu mbalimbali kama vile masomo, kazi, biashara au utalii. Ili kupata hati hii, moja ya mahitaji muhimu ni kuandika barua ya maombi ya hati ya kusafiria. Katika makala hii, utajifunza kila kitu unachohitaji kujua […]
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Chuo cha SAUT 2025/2026
Kila mwaka, Chuo Kikuu cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) hutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga chuo cha SAUT kwa mwaka mpya wa masomo. Makala hii inatoa mwongozo wa kina kuhusu: jinsi ya kuona orodha, hatua baada ya kuchaguliwa, na maswali yanayoulizwa mara nyingi (FAQ). Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga Chuo cha SAUT […]
Mwongzo wa Kazi za Kulipwa Kwa Siku Tanzania
Kazi za kulipwa kwa siku ni ajira za muda mfupi ambapo mfanyakazi hulipwa kila siku baada ya kumaliza kazi. Hazihitaji mikataba ya muda mrefu, na mara nyingi zinapatikana kwenye sekta zisizo rasmi au kwenye miradi ya muda mfupi. Aina za kazi hizi hujumuisha: Kazi za ujenzi Ushirika wa kupakia na kupakua mizigo Uuzaji wa bidhaa […]
Jinsi ya Ku Divert SMS Kwenye iPhone au Android
Katika ulimwengu wa mawasiliano ya kisasa, kuweza kupokea ujumbe wa SMS kwenye namba nyingine au kifaa kingine ni jambo muhimu sana kwa watu wengi. Iwe unataka kuhamishia SMS zako kwa ajili ya usalama, urahisi wa mawasiliano kazini, au sababu binafsi — kufahamu jinsi ya ku divert SMS kwenye iPhone au Android ni jambo muhimu. Katika […]
Jinsi ya Kutoa Call Forwarding Kwenye Simu
Katika dunia ya sasa ya mawasiliano ya haraka, call forwarding imekuwa ni huduma muhimu kwa watu wengi. Hata hivyo, kuna wakati unapenda kuizuia au kuiondoa huduma hii. Kama umekuwa ukitumia huduma ya call forwarding lakini sasa unataka kuikomesha, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika makala hii, tutajifunza jinsi ya kutoa call forwarding kwenye […]
Jinsi ya Kuweka na Kutoa Call Forwarding Code Kwenye Android au iPhone
Unataka kuelekeza simu zako kwenda namba nyingine kwa muda au kuzuia kabisa kupokea simu? Makala hii itakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuweka na kutoa call forwarding code kwenye Android au iPhone. Fuata maelezo haya kwa usahihi na kwa kutumia mbinu mpya kabisa zinazotumika 2025. Call Forwarding ni Nini? Call Forwarding ni huduma inayokuwezesha kuelekeza […]










