
Bei ya Tecno Camon 40 Series na Sifa Zake 2025
Tecno Camon 40 Series imezinduliwa rasmi mnamo Machi 2024, ikiwalenga watumiaji wanaopenda kupiga picha na kupata thamani kubwa kwa gharama nafuu. Simu hii mpya kutoka Tecno imeleta maboresho makubwa ukilinganisha na toleo la awali, ikiwa na teknolojia ya kisasa, kamera zenye ubora wa juu, na muundo unaovutia. Tarehe ya Kutolewa & Sasisho Tecno Camon 40 […]