Sifa Za Kujiunga Na Vyuo Vya Afya Tanzania 2025/2026
Vyuo vya afya nchini Tanzania vinawapatia vijana fursa ya kujifunza taaluma muhimu kama uuguzi, maabara, tiba ya meno, farmasia, na afya ya umma. Ili kupata nafasi, kuna vigezo maalum unavyostahili kuyatimiza. Makala hii yanakuletea sifa za kujiunga na vyuo vya afya kwa uwazi, ikiwa na vyanzo rasmi vya Tanzania. Mfumo wa Udahili (CAS) Maombi kwa kozi za cheti na diploma
Continue reading