Orodha ya Vyakula Hatari Kwa Mama Mjamzito
Ujauzito ni kipindi muhimu ambapo lishe bora ina jukumu kubwa katika kuhakikisha afya ya mama na mtoto anayekua tumboni. Vyakula vinavyoliwa na mama mjamzito vinapaswa kutoa virutubisho muhimu kama protini, vitamini, na madini ili kusaidia ukuaji wa mtoto na kuzuia matatizo ya kiafya. Hata hivyo, baadhi ya vyakula vinaweza kuwa hatari kwa sababu ya bacteria, sumu kama mercury, au ukosefu
Continue reading