Mwongozo wa Bei ya Madini ya Dhahabu Tanzania 2025

Bei ya Madini ya Dhahabu

Mwongozo wa Bei ya Madini ya Dhahabu Tanzania 2025, Gharama ya dhabau Tanzania,Bei ya dhabu,Dhabu ni moja ya madini yenye thamani zaidi Tanzania na duniani kwa ujumla. Tanzania ni moja ya nchi zinazojivunia kwa kua na machimbo mengi ya uchimbaji wa madni ya aina ya dhahabu.

Leo katika makala hii tunaenda kuangazia soko la dhahabu nchini Tanzania, Hapa tutaangalia zaidi juu ya bei ya madini aina ya dhahabu yanayopatikana Tanzania

Umuhimu wa Dhahabu Tanzania

Tanzania imejiimarisha kama mojawapo ya nchi muhimu katika uzalishaji wa dhahabu Afrika. Sekta ya madini, hususani dhahabu, inachangia sehemu kubwa katika pato la taifa na ajira kwa Watanzania.

Namna ya Kuangalia Bei ya Dhabu Tanzania

Kama unataka kufuatili soko na mwenendo wa bei ya madini ya Dhabu Tanzania basi unaweza kufuata hatua zifuatazo hapa chini.

  1. Kwa kutembelea baadhi ya tovuti Mtandaoni kama vile, GoldPriceZ na Live Price of Gold
  2. Kwa kutembelea maduka yanayouza Dhahabu
  3. Application za Simu –  kwenye google play Store kuna App mbalimbali ambazo zinaweza kukupa taarifa za bei ya dhahabu

Hizo hapo juu ni njia kuu tatu zinazoweza kukupa taarifa juu ya bei ya madini ya Dhahabu  Tanzania

Bei ya Madini ya Dhahabu Tanzania

Hapa chini ni ghafu linaloonyesha bei ya dhahabu Tanzania

Gram Moja ya Dhahabu TZS Kiwango Cha Juu Kiwango Cha Chini
GRAM GOLD 24K 203,666.73 204,002.11 203,153.16
GRAM 22K 186,966.06 187,273.94 186,494.60
GRAM 21K 178,208.39 178,501.85 177,759.02
GRAM 18K 152,750.05 153,001.58 152,364.87
GRAM 14K 119,145.04 119,341.23 118,844.60
GRAM 10K 84,929.03 85,068.88 84,714.87
GRAM 6K 50,916.68 51,000.53 50,788.29

Mapendekezo ya Mhariri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!