Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania, bei ya simu ya iPhone 16 Pro leo Tanzania, Habari mwana Kisiwa24 blog, karibu tena katika makala hii fupi ambaoyo itaenda kukuonyesha makadilio ya bei ya iPhone 16 Pro Tanzania.
Kama wewe ni mpenzi wa kutumia simu za kampuni ya Apple basi utakua umesha sikia kuhusu simu ya iPhone 16 Pro, Hivyo basi katika makala hii tutaenda kukuonyesha bei harisi ya simu hiyo kwa hapa nchini Tanzania
Apple ni kampuni maarufu sana katika utengenezaji wa vitu vya kielektroniki na kwa mwaka wa 2025 wameweza kutoa toleo jipya la simu zake aina ya iPhone ambayo imejulikana kama iPhone 16 Pro. Simu hii ni simu ya kisasa zaidi kwa kila eneo kwani imefanyiwa maboresho mengi sana.

Kuhusu iPhone Pro
Hii ni simu ya toleo la kisasa kwani imekuja na maboresho mendi sana kama vile
- Uwezo wa Memory , 128GB, 256GB,512GB, 1TB
- Haiingizi vumbi maji wa uchafu wa aiana yoyote ile
- Kamera yake ni 12Mp
iPhone ni moja ya bidhaa pendwa zaidi Tanzania na duniani kwa ujumla pia ni bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na upekee katika soko. Hapa chini tutaenda kukuwekea bei halali ya simu aina ya iPhone 16 Pro kwa Tanzania
iPhone ni bidhaa maarufu ya simu janja inayotengenezwa na Apple, kampuni inayoongoza duniani katika teknolojia na vifaa vya kielektroniki. iPhone inatambulika kwa ubora wake wa hali ya juu, programu bora, usalama wa kifaa, na uwezo wa kupiga picha na video zenye ubora wa juu. Simu hizi zina mfumo wa uendeshaji wa iOS ambao unatoa uzoefu wa kipekee kwa watumiaji.
Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania
- iPhone 16 Pro (256GB): TSH Milioni 2.6 hadi Milioni 2.8
- iPhone 16 Pro (512GB): TSH Milioni 3 hadi Milioni 3.2
- iPhone 16 Pro (1TB): TSH Milioni 3.5 hadi Milioni 3.7
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbali Mbali Duniani
2. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 EPL
3. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025
4. Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu
5. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025