Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Kanuni za Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
Kuku wa kienyeji ni aina ya kuku waliobobea katika mazingira ya asili na ambao hawajafanyiwa mabadiliko ya kijenetiki kama ilivyo kwa kuku wa kisasa. Wafugaji wengi wa Tanzania wameanza kuelekeza nguvu kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kutokana na faida zake lukuki — ikiwemo gharama nafuu, upatikanaji wa soko la uhakika, na ladha nzuri ya […]
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 14 June 2025
Habari ya wakati huu mwanakisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya magazeti, hapa utaenda kupata wasaha wa kipitia vichwa vya habari kwenye magazeti ya leo Tanzania Jumamosi ya Juni 14, 2025. Kurasa hii inakupa furasa ya kuperuzi vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za Magazeti ya leo Tanzania 14 Juni 2025. […]
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 13 June 2025
Habari mwanakisiwa24 karibu tena katika kurasa hii ya magazeti. Hapa utaensa kupata wasaha wa kupitia habari kwenye magazeti ya leo Tanzania Ijumaa Juni 13, 2025 Hapa utaweza kuperuzi vichwa vya habari zilizoweza kupewa kipaumbele na uzito kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 13 June 2025 MAGAZETI ya Leo Ijumaa 13 […]
Ratiba na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi Tu 2025
Ziwa Victoria, Ni moja miongoni mwa maziwa makubwa zaidi Tanznia na Afrika, limekuwa kitovu cha usafiri wa majini kwa miongo mingi kati ya mkoa wa Mwanza na wilaya ya Bukoba. Leo katika makala hii tutaenda kukupa ufahamu zaidi juu ya nauli na ratiba ya meli mpya ya MV Victoria Hapa Kazi tu inayofanya safari zake […]
MAGAZETI ya Leo Jumatano 11 June 2025
Habari mwana kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya magazeti ya leo Tanzania Jumatano Juni 11, 2025. Hapa utaweza kupata wasaha wa kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za magazati ya leo Tanzania 11 june 2025 siku ya jumatano. MAGAZETI ya Leo Jumatano 11 June 2025
Yanga: Hatujawai Lipwa Misimu 3 na Hatuna Taarifa ya Kudaiwa TFF
Baada ya taarifa ya Yanga kujibiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuhusu madai ya liyotolewa na mwanahabari wa klabu ya Yanga kupitia mkutano wa vyombo vya habari uliofanyika 09 June 2025 makao makuu ya klabu hiyo kuhusu kuidai TFF na Mdamini wa mashindano ya CRDB Federation Cup fedha za bingwa wa mshindano […]
TFF ya Kana Kudaiwa na Yanga Tsh Milioni 200
Baada ya tarifa zilizoweza kutolewa na mwana habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe mbele ya vyombo vya habari kua wanaidai TFF na wazamini wakuu wa kombe la shirikisho (CRDB Federation Cup) kiasi cha shiling Milioni 200 za zaawadi za mshindi wa michuano hiyo kwa msimu wa 2023/2024, TFF imetoa taarifa za kukanusha madai hayo. […]
Makabila ya Tanzania na Vyakula Vyao vya Asili
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa utajiri wa makabila zaidi ya 120, kila moja likiwa na historia, mila, na vyakula vyao vya asili. Vyakula hivi si tu chakula cha mwili, bali pia vinaakisi tamaduni, maisha ya kila siku, na mazingira yanayowazunguka wanajamii husika. Kupitia makala hii, tutakufahamisha kuhusu baadhi ya makabila makubwa ya Tanzania na vyakula […]
Orodha ya Makabila 125 ya Tanzania na Salamu Zao
Tanzania ni taifa lenye utajiri mkubwa wa tamaduni na makabila. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, Tanzania ina zaidi ya 125 ya makabila tofauti, kila moja likiwa na lugha, mila na desturi zake. Mojawapo ya vipengele vinavyotofautisha makabila haya ni salamu zao za asili, ambazo huonyesha heshima, utu na mshikamano wa kijamii. Katika makala hii, tutakuletea […]
RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025
Ikiwa ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaelekea kumalizika kwa kusailia kwa mechi mbili kwa kila timu ukiacha ile ya Derby ya Kariakoo ambayo imepangwa kufanyika tarehe 15 June 2025. Hapa kisiwa24 tunakuletea michezo ya NBC Premier League tarehe 18 June 2025. RATIBA ya NBC Premier League 18 June 2025 KenGold vs Simba Sc 10:00 […]











