Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
MATOKEO ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 22 June 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kwa michezo 8 itakayocheza kwenye viwanja 8 tofuti tofauti. Michezo hii ni michezo ya round ya 30 michezo ya kufunga ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025. Kulekea kumalizika kwa ligi hii ya NBC Tanzania bara kisiwa24 blog itakuletea matokeo ya michezo […]
MATOKEO Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025
Baada ya kupata ushindi wa goli 5 kwa 0 dhidi ya KenGold kwenye mchezo uliopita 18/06/2025 leo klabu ya Simba inaenda kukamilisha mchezo wake wa round ya 29 ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam dhidi ya Kagera Suger. Kuelekea mcheo huu leo Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huu tutakuletea matukio na matokeo […]
KIKOSI cha Simba Sc vs Kagera Sugar Leo 22 June 2025
Leo Jumapili ya tarehe 22 June 2025 klabu ya Simba itaikaribisha klabu ya Kagera Sugara katika uwanja wake wa nyumbani jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC. Kuelekea mchezo huu klabu ya Simba kwa namna yoyote ile inahitaji ushindi ili kuendelea kua na matumaini ya kuchukua ubingwa […]
MAGAZETI ya Leo Jumapili 22 June 2025
Habari ya leo mwanakisiwa24, Karibu tena katika kurasa yako pendwa ya Magzeti ya Leo Tazania Juni 22, 2025. Hapa utaweza kupata wasaha wa kupitia taarifa za magazeti ya leo Tanzania. Kurasa hii itakupa fursa ya kuweza kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Tanzania 22 June 225 […]
VIINGILIO Yanga vs Dodoma Jiji 22 June 2025
Kuelekea mchezo wa round ya 30 kati ya Yanga Sc vs Dodoma Jiji, Klabu ya Yanga tayari imesha tangaza viingilio hivyo kwa wampenzi na mashabiki wa soka watakao hitaji kwenda kutazama live mchezo huo. Mchezo huu ni mchezo wa mwisho kwa klabu ya Dodoma jiji kwenye kuhitimisha ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2024/2025 […]
MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
Leo tarehe 22 June 2025 tunaenda kushuhudia mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC mchezo utakaozikutanisha timu 2 kati ya Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji. Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huuu tutakuletea matukio na matokeo ya mchezo huu live hapa. Unachotakiawa kufanya ni kutembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kuweza kutazama […]
KIKOSI cha Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania Bar inaenda kukamilisha mchezo wke wa round ya mwisho ya 30 huku klabu ya Yanga ikienda kuikaribisha klabu ya Dodoma Jiji mchezo wa wisho kwa Dodoma jiji na mchezo wa 29 kwa klabu ya Yanga. Kisiwa24 tunakuletea vikosi vya timu zote 2 kuelekea mchezo huu. Malezo ya Mchezo Ligi: […]
Matokeo ya Mock Darasa la Saba Mkoani Mbeya 2025
Matokeo ya Mock Darasa la Saba mkoani Mbeya mwaka 2025 yameonyesha ufanisi mkubwa wa wanafunzi katika mitihani hiyo ya majaribio. Kwa ujumla, asilimia kubwa ya wanafunzi walipita kwa kiwango cha wastani na juu, ikionyesha ujitolewa wao na waalimu katika kujiandaa kwa mitihani ya halisi ya Darasa la Saba. Shule kadhaa zilistawi na kufikia matokeo bora […]
Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 Mikoa Yote
Ulikuwa unatafuta Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 kutoka mikoa yote ya Tanzania? Uko mahali sahihi. Karibu kwenye Mitihanibora.co.tz kuona Matokeo ya Mock Darasa la Saba 2025 kutoka mikoa mbalimbali. Matokeo ya Mitihani ya Mock Darasa la Saba 2025 yanapatikana bure kwenye makala hii. Bonyeza tu mkoa ambako shule yako iko, kisha chagua wilaya […]
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 20 June 2025
Habari ya wakati huu mwanakisiwa25 blog, karibu tena kwenye kurasa hii ya Magazeti ya leo Tanzania Juni 20, 2025. Hapa utaweza kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za Magazeti ya leo Tanzania 20 June 2025 MAGAZETI ya Leo Ijumaa 20 June 2025











