Mshahara wa Mchezaji Soka Vinícius Júnior
Vinícius Júnior ni moja ya wachezaji chipukizi waliogeuka kuwa mastaa wakubwa duniani katika muda mfupi. Akiwa anachezea klabu ya Real Madrid CF na timu ya taifa ya Brazil, mshahara wake umekuwa gumzo katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Lakini je, unajua ni kiasi gani analipwa kwa wiki, kwa mwezi, au kwa mwaka? Makala hii ya kina itakuonesha kila
Continue reading