MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano Afisa Utalii Dar es Salaam
Waombaji kazi wa kada Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) waliopangwa kufanya usaili wa mahojiano katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Dar es salaam kuwa, sasa usaili huo utafanyika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo jengo la Utumishi Kivukoni Dar es salaam tarehe 12 Juni,2025. MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano
Continue reading