NAFASI ZA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025 (BOFYA HAPA)

_________________________________________________

BARUA YA KUOMBA KAZI UCHAGUZI MKUU 2025(BOFYA HAPA)

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Kisiwa24

rss feed Author's Website

Kisiwa24's Latest Posts

Jinsi ya Kufungua Akaunti ya WhatsApp Iliyofungiwa 2025

Filed in Makala by on July 4, 2025 0 Comments
Jinsi ya Kufungua Akaunti ya WhatsApp Iliyofungiwa 2025

Katika ulimwengu wa mawasiliano ya kisasa, WhatsApp imekuwa mojawapo ya njia kuu za kutuma ujumbe, kupiga simu na kushirikiana nyaraka. Hata hivyo, wapo watumiaji wengi ambao hukutana na changamoto ya kufungiwa akaunti zao. Ikiwa wewe ni mmoja wao, usijali. Makala hii itakueleza jinsi ya kufungua akaunti ya WhatsApp iliyofungiwa kwa urahisi na haraka. Sababu Zinazosababisha […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Barrick Gold Mine Tanzania 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 4, 2025 5 Comments
NAFASI Za Kazi Barrick Gold Mine Tanzania 2025

Barrick Gold Mine ni moja kati ya makampuni makubwa ya uchimbaji wa dhahabu duniani, na ina mchango mkubwa katika sekta ya madini nchini Tanzania. Kampuni hii inaendesha migodi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Bulyanhulu, North Mara, na Buzwagi, ambayo husaidia kuongeza uzalishaji wa dhahabu na kuchangia kwa kiasi kikubwa kwa uchumi wa Tanzania. Barrick pia […]

Continue Reading »

NAFASI 11 za Kazi Kinondoni Municipal Council

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 4, 2025 0 Comments
NAFASI 11 za Kazi Kinondoni Municipal Council

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni anawatangazia watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali cha Ajira mpya chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29.04.2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala […]

Continue Reading »

PDF: MAJINA Walioitwa Kazini UTUMISHI 04 July 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 4, 2025 0 Comments
PDF: MAJINA Walioitwa Kazini UTUMISHI 04 July 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 21-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

Vilabu Bora Afrika 2025/2026 (CAF Club Ranking)

Filed in Michezo by on July 4, 2025 6 Comments
Vilabu Bora Afrika 2025/2026 (CAF Club Ranking)

CAF Orodha Ya Vilabu Bora Afrika 2025/2026 (CAF Club Ranking),Vilabu Bora Afrika 2025/2026 CAF Ranking – CAF Ranking of African Clubs 2025, Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza orodha mpya ya vilabu bora Afrika kwa msimu wa 2025/2026, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mandhari ya soka barani Afrika. Orodha hii inazingatia utendaji wa vilabu […]

Continue Reading »

Wiki ya Mwananchi 2025 (Yanga Day): Tarehe, Matukio na Bei ya Tiketi

Filed in Michezo by on July 4, 2025 0 Comments
Wiki ya Mwananchi 2025 (Yanga Day): Tarehe, Matukio na Bei ya Tiketi

Wiki ya Mwananchi 2025 (Yanga Day): Sherehe Kubwa ya Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mara tano mfululizo Yanga Sc (Timu ya Wananchi), Tarehe Muhimu, Matukio ya Kusisimua, na Bei za Tiketi Wiki ya Mwananchi, inayojulikana pia kama Yanga Day, ni tukio maalum linalofanyika kila mwaka ili kuadhimisha kilele cha klabu ya Yanga ambapo utambulisho […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 05 July 2025

Filed in Magazeti by on July 4, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 05 July 2025

Habari wakati huu mwanakisiwa24 Blog, karibu tena kwenye kurasa hii ya Magazeti ya Leo Tanzania Julai 05, 2025. Hapa utaweza kupata wasaha wa kupitia vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za Magazeti ya Leo Tanzania Jumamosi ya tarehe 05 July 2025. MAGAZETI ya Leo Jumamosi 05 July 2025

Continue Reading »

MFANO wa Maswali Ajira za Air Tanzani

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 4, 2025 0 Comments
MFANO wa Maswali Ajira za Air Tanzani

Ikiwa umepata fursa ya usaili kazi katika Air Tanzania Company Limited (ATCL), basi unahitaji kujiandaa kwa MFANO wa Maswali ya Usaili Ajira za Air Tanzani. Makampuni ya anga nchini Tanzania, kama ATCL, yanatarajia waombaji wawe na uelewa wa tasnia ya usafiri wa anga, huduma kwa mteja, usalama, na malengo ya shirika Maswali ya Jumla (General […]

Continue Reading »

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Air Tanzania

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 4, 2025 0 Comments
PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Air Tanzania

Kampuni ya Ndege Tanzania kinapenda kuwataarifu wote walioomba kazi katika kada mbalimbali kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025. Wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- Usaili utafanyika tarehe 5 Julai, 2025 hadi tarehe 10 Julai, 2025 kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili; Muda na sehemu ambapo usaili utafanyika […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Mkulazi Holding Company Limited (MHCL)

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 4, 2025 0 Comments
NAFASI za Kazi Mkulazi Holding Company Limited (MHCL)

Mkulazi Holding Company Limited (MHCL) ni kampuni ya umma inayomilikiwa kwa pamoja na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Kampuni hii ilianzishwa kwa lengo la kuwekeza katika sekta ya kilimo na viwanda, hususan katika uzalishaji wa sukari. MHCL inaendesha mradi mkubwa wa […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!