Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: Kisiwa24
Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Agosti 2024 (UDOM) Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU Chuo kikuu kiko karibu kilomita 8 mashariki mwa katikati mwa jiji, na kinapatikana kwa usafiri wa umma, ambao unapatikana kwa urahisi kutoka katikati mwa jiji. Kwa kuzingatia eneo la katikati mwa Dodoma, UDOM imejipanga kimkakati kuhudumia waombaji kote nchini na hasa watumishi wa Serikali na sekta binafsi wanaoishi Dodoma, ambao hadi sasa hawakuweza kupata nafasi…
Nafasi Mpya Za Kazi Wizara ya Maji Agosti 2024 Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU Utekelezaji wa Mpango wa Usambazaji Maji Vijijini wa miaka 20 (1971-1991) ambao lengo lake lilikuwa kutoa huduma ya maji salama na ya kutosha kwa jamii zote za vijijini nchini Tanzania ulionyesha upungufu mkubwa wa wafanyakazi wenye mafunzo wa kada zote yaani wahandisi, mafundi, mafundi n.k. Ili kukidhi mahitaji mbalimbali ya sekta ya maji, Taasisi ya Rasilimali za Maji (WRI)…
Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024 Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU Chuo Kikuu cha Mzumbe ni chuo kikuu cha umma kinachopatikana Mzumbe, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Tanzania. Chuo kikuu cha Mzumbe kilianzishwa rasmi mwaka 2001. Taaluma Chuo kikuu cha Mzumbe kinatoa taaluma katika ngazi mbalimbali za elimu kwenye maeneo yafuatayo – Shule ya Biashara – Shule ya menejimentin na Utawala – Kitivo cha Sheria…
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Agosti 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo katika tangazo la Ajira ya Mkataba nafasi ya MKUZA MITAALA SOMO LA UTALII (TOURISM) kuwa, usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29/08/2024 hadi 30/08/2024 saa mbili Kamili Asubuhi katika Ofisi za Makao Makuu ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) zilizopo MwengeBamaga Karibu na Ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania, Jijini Dar es Salaam. Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU. 2. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho…
Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma Agosti 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-06-2023 na tarehe 21-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana. Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha…
Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Wilaya Ya Tunduru Agosti 2024 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 chenye Kada za Msaidizi wa kumbukumbu Daraja la II nafasi nne (4), Mtendaji wa kijiji Daraja la III nafasi kumi na moja (11) na Dereva Daraja la II nafasi tatu (3), kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduru anawatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wote wenye sifa…
Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu Agosti 2024 Mkurugenzi wa Mji Kasulu amepokea kibali cha ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumbu Na. FA.228/613/01/C/021 cha tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo; MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (NAFASI 2) MAJUKUMU YA KAZI i. Kuchapa barua, taarifa au nyaraka za kawaida na za siri. ii. Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa . iii. Kutunza taarifa…
Tangazo La Nafasi Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Elimu Agosti 202 Kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Academy (MNMA), Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), Arusha Chuo cha Ufundi (ATC), Chuo Kikuu cha Kilimo cha Mwalimu Julius K. Nyerere na Teknolojia (MJNUAT), Taasisi ya Maji (WI), Taasisi ya Jumuiya ya Tengeru Maendeleo (TICD) na Taasisi ya Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Umma Sekretarieti ya Kuajiri Watumishi (PSRS) inawaalika wenye sifa mahiri na wanaofaa Watanzania kujaza nafasi mia moja tisini na mbili (192) zilizo wazi kama ilivyoainishwa hapa chini. Download PDF…
MATOKEO Simba Vs Tabora United Leo 18 August 2024 Leo tarehe 18/08/2024 ligi kuu ya NBC Tanzania bara ineendelea katika mzunguko wa kwanza huku Klabu ya wekundu wa msimbazi wakiingia dimbani kukipiga dhidi ya Tabora United. Hivyo nasi habarika24 tunakuletea matokeo ya mchezo huo live katika page hii. Pia kumbuka ukihitaji matokeo ya michezo ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu huu wa 2024/2025 utayapata hapa katika blog yetu ya habaeika24.com MATOKEO Simba Vs Tabora United Leo 18 August 2024
Habari kubwa Katika Magazeti ya leo Ijumaa Agosti 16 2024 Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU Habari kubwa Katika Magazeti ya leo Ijumaa Agosti 16 2024 Habari kubwa Katika Magazeti ya leo Ijumaa Agosti 16 2024, bila shaka u mzima wa afya karibu tena kwenye ukrasa wetu wa magazeti ili uweze kupitia vichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania.