WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Kisiwa24

rss feed Author's Website

Kisiwa24's Latest Posts

Jay Melody Ft Alikiba – Nishalowa Official Video

Filed in Music Video by on May 18, 2025 0 Comments
Jay Melody Ft Alikiba – Nishalowa Official Video

Msanii wa muziki wa Tanzania Jay Melody amemtoka rasmi video ya wimbo wake mpya “Nishalowa”, akishirikiana na msanii wa Bongo Flava maarufu Alikiba. Ushirikiano huu mkubwa ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu yake yenye sifa za hali ya juu, “Addiction”, na tayari umeanza kufanya vizuri katika Afrika Mashariki na nje ya mipaka. “Nishalowa” ni […]

Continue Reading »

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma 2025/2026

Filed in Siafa za Kujiunga na Vyuo Tanzania by on May 18, 2025 0 Comments
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma 2025/2026

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Mipango Dodoma | Jinsi ya kujiunga na chuo cha mipango ya Taasisi ya Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) Mahitaji ya Kuingia Chuo cha Mipango Dodoma, kinachojulikana rasmi kama Institute of Rural Development Planning (IRDP), ni taasisi maarufu nchini Tanzania inayotoa mafunzo maalum kwa wale wanaotaka kuwa wataalamu wa mipango […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

Filed in Michezo by on May 17, 2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs JKT Tanzania 18 May 2025

Baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya nusu faibali ya kombe CRDB Federation CUP kwa masimu wa 2024/2025, leo 18 May 2025 inaenda kucheza mchezo wake wa nusu fainali na klabu ya JTK Tanzania. Mchezo huu wa fainali ya kwanza ya kombe la CRDB Federation CUP itafanyika jijini Tanga kuanzia majira ya saa 15:15 alasiri. […]

Continue Reading »

Mpangilio Wa Vituo Na Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo Kada Ya Dereva Daraja La II May 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025, Usaili by on May 17, 2025 0 Comments
Mpangilio Wa Vituo Na Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo Kada Ya Dereva Daraja La II May 2025

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Dereva II wanapaswa kuzingatia vituo na tarehe ya kuafanya usaili kama ilivyoainishwa kwenye viambatisho hapo chini. DEREVA II-KITUO BUZA DSM DEREVA II-KITUO KIHONDA MOROGORO

Continue Reading »

MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Utumishi 17 May 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025, Usaili by on May 17, 2025 0 Comments
MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Utumishi 17 May 2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. Ajira hizi ni za mkataba.   MATOKEA YA USAILI WA KUANDIKA WAKALA WA VIPIMO MCHANGANUO WA USAILI WA VITENDO DEREVA WAKALA WA VIPIMO

Continue Reading »

Sales Engineer -Machines Job Vacancy at HR World Limited May 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on May 17, 2025 0 Comments
Sales Engineer -Machines Job Vacancy at HR World Limited May 2025

HR World Limited ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na utoaji wa huduma za utaalamu katika nyanja za utumishi wa watu na usimamizi wa rasilimali watu (HR). Kampuni hiyo, iliyoanzishwa mwaka 2008 na makao makuu jijini Dar es Salaam, Tanzania, ina sifa ya kuwa mtaalamu wa kipekee katika uajiri, mafunzo ya wafanyikazi, ushauri wa HR, na […]

Continue Reading »

MAJINA Walioitwa Kazini Utumishi May 2025

MAJINA Walioitwa Kazini Utumishi May 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 15-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali […]

Continue Reading »

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo MUST May 2025

Filed in Usaili by on May 17, 2025 0 Comments
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo MUST May 2025

Makamu Mkuu wa Chuo kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-05-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye […]

Continue Reading »

Information System Auditor Job Vacancy at HR World Limited May 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on May 17, 2025 0 Comments
Information System Auditor Job Vacancy at HR World Limited May 2025

HR World Limited ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na utoaji wa huduma za utaalamu katika nyanja za utumishi wa watu na usimamizi wa rasilimali watu (HR). Kampuni hiyo, iliyoanzishwa mwaka 2008 na makao makuu jijini Dar es Salaam, Tanzania, ina sifa ya kuwa mtaalamu wa kipekee katika uajiri, mafunzo ya wafanyikazi, ushauri wa HR, na […]

Continue Reading »

FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025

Filed in Michezo, Uncategorized by on May 17, 2025 0 Comments
FIFA Club World Cup Live Ndani ya AzamTv 15 June 2025

FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Kuelekea michuano hii ya kidunuia inayoshirikisha vilabu mbalimbali duniani […]

Continue Reading »