Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Gharama za Kusafirisha Mizigo kwa Treni Tanzania
Usafirishaji wa mizigo kwa treni ni mojawapo ya njia nafuu na salama zaidi nchini Tanzania. Kwa sasa, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeboresha huduma zake na kuongeza ufanisi katika usafirishaji wa mizigo kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi maeneo mbalimbali ya ndani na hata nchi jirani. Makala hii itakupa mwongozo wa kina kuhusu gharama […]
Gharama za Posta Tanzania Kwa Vifurushi na Mizigo
Gharama za Posta Tanzania Kwa Vifurushi na Mizigo, Habari mwanahabrika24, karibu katika makala hii fupi ambayo kwa kiasi kikubwa itaenda kukuomyesha juu ya gharama za posta Tanzania kwa vifurushi na mizigo. Kama unatarajia kusafirisha mzigo au kifurushi kipitia Posta na haufahamu bei ya usafirishaji basi makala hii itakupa fursa ya kufahamu bei ya usafirishaji kwa […]
Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 (Fainali ya Ngao ya Jamii)
Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 (Fainali ya Ngao ya Jamii) Mashabiki wa soka nchini Tanzania hatimaye wamepata siku waliyoisubiri kwa hamu kubwa. Leo Septemba 16, 2025, macho yote yameelekezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambako vigogo wa soka nchini – Yanga SC na Simba SC – wanamenyana kwenye fainali […]
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16/9/2025
VIINGILIO Yanga Sc vs Simba Sc Ngao ya Jamii 16/9/2025 Ngao ya Jamii 2025 inatarajiwa kuwakutanisha tena mahasimu wakubwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans SC (Yanga) na Simba SC, katika pambano la kukata na shoka litakalopigwa Jumanne, Septemba 16, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) […]
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 16 September 2025
KIKOSI Cha Simba vs Yanga Leo 16 September 2025 Leo Simba Sc inaenda kuikabiri klabu ya Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025. Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huu blog yako pendwa ya […]
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025
KIKOSI Cha Yanga vs Simba Leo16 September 2025 Leo Yanga Sc inaenda kuikabiri klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa msimu mpya wa mwaka 2025. Mchezo huu utachezwa leo Jumanne ya tarehe 16 September 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia majira ya saa 11:00 za jioni. Kuelekea […]
NAFASI za Kazi Magu District Council September 2025
NAFASI za Kazi Magu District Council September 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Magu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tatu (03) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:- BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
Mfano wa Barua ya Kuomba Tenda
Mfano wa Barua ya Kuomba Tenda Kuandika barua ya kuomba tenda ni hatua muhimu kwa kampuni au mtu binafsi anapotaka kushiriki kwenye zabuni za serikali au binafsi. Barua hii inapaswa kuonyesha umakini, uaminifu, na ustadi wa kibiashara, kwani ni moja ya nyenzo muhimu zinazochangia kupata tenda. Katika makala hii, tutakupa mfano kamili wa barua ya […]
Jinsi ya Kujisajiri na Kutumia Mfumo wa NEST Kuonba Tenda
Jinsi ya Kujisajiri na Kutumia Mfumo wa NEST Kuonba Tenda Katika zama hizi za kidijitali, Serikali ya Tanzania imeanzisha mfumo wa NEST (National Electronic Single Tendering System) ili kurahisisha taratibu za ununuzi na kuonba tenda. Mfumo huu unarahisisha mashirika, makampuni, na watu binafsi kushiriki katika tenda za umma kwa njia salama na ya kidijitali. Katika […]
Mwongozo wa Jinsi ya Kuomba Tenda Serikalini
Mwongozo wa Jinsi ya Kuomba Tenda Serikalini Kuomba tenda serikalini ni fursa kubwa kwa wajasiriamali na makampuni ya hapa nchini Tanzania. Tenda za serikali hutoa nafasi ya kushirikiana na mashirika ya umma, kuongeza mapato, na kupanua biashara yako. Hata hivyo, mchakato wa kuomba unaweza kuonekana mgumu ikiwa huna mwongozo sahihi. Katika makala hii, tutakueleza kila […]











