Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Matokeo ya Darasa la Saba 2025/2026 (PSLE NECTA)
Bonyeza KUJIUNGA NASI WHATSAPP Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships. Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ndilo linalosimamia mitihani yote ya kitaifa ikiwemo Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE). Matokeo ya darasa la saba ni hatua muhimu kwa kila mwanafunzi kwani huamua mwendelezo wa safari ya […]
Jinsi ya Kupata TIN Namba Online Tanzania (TRA Registration)
Kupata TIN Namba (Taxpayer Identification Number) ni hatua muhimu kwa mtu binafsi au kampuni yoyote inayofanya shughuli za kibiashara Tanzania. Kuanzia mwaka 2025, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeboresha mfumo wake ili kurahisisha mchakato wa kupata TIN kwa njia ya mtandaoni. Hii ni habari njema kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, na watu binafsi wanaohitaji kutimiza matakwa ya […]
Jinsi ya Kupata NIDA Copy Online kwa Haraka
Kupata NIDA copy ya kitambulisho online imekuwa jambo la muhimu sana kwa Watanzania wengi. Katika ulimwengu wa kidijitali, hatuhitaji tena kusubiri foleni ndefu ili kupata nakala ya kitambulisho cha taifa. Kwa kutumia simu janja au kompyuta, mtu anaweza kupakua na kuchapisha nakala ya kitambulisho chake moja kwa moja kutoka mtandaoni. Katika makala hii, tutakueleza kwa […]
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 29/09/2025
Habari ya leo dugu yetu, karibu katika kurasa hii ya Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 29/09/2025. Hapa utapata wasaha wa kusoma vichwa vya habari vilivyopewa uzito kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Tanzania. MAGAZETI ya Leo Jumatatu 29/09/2025
MATOKEO Yanga Vs Wiliete Leo 27/ 09/2025 – CAF Champions League
Young Africans SC (Yanga) wanatarajia mtanange mkubwa dhidi ya Wiliete SC katika mechi ya marudiano ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF mnamo Septemba 27, saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki (18:00 kwa saa za nyumbani kwa Wiliete). Hii ni hatua ya kuamua nani ataendelea kwenye michuano ya kimataifa baada ya mechi […]
KIKOSI Cha Yanga SC vs Wiliete SC Leo 27/09/2025 – CAF Champions League
Timu ya Wananchi, Yanga SC, leo tarehe 27 Septemba 2025, inashuka dimbani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kukabiliana na Wiliete SC ya Angola katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League). Hii ni mechi inayotarajiwa kwa hamu kubwa na mashabiki, kwani Wananchi tayari […]
Yanga Sc vs Wiliete Sc Leo 27/09/2025 Saa Ngapi? CAF Champions League
Timu ya Wananchi Yanga SC leo Jumamosi, tarehe 27 Septemba 2025 inashuka dimbani kuivaa Wiliete SC ya Angola katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League). Mashabiki wa soka nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla wanasubiri kwa hamu tukio hili kubwa litakalopigwa katika Uwanja wa Benjamin […]
VIINGIO Yanga vs Wiliete Sc Leo 27/09/2025 CAF Champions League
Leo klabu ya Yanga Inaenda kuikaribisha klabu ya Wiliete Benguela katika mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Afrika. Mcheo huu utafanyika leo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. VIINGIO Yanga vs Wiliete Sc Leo 27/09/2025 CAF Champions League Hapa chini ni Viingilio vya mchezo wa leo kati ya Yanga Sc vs Wiliete Benguela Mzunguko; […]
VIINGILIO Simba SC vs Fountain Gate FC 25/9/2025 Ligi Kuu ya NBC
VIINGILIO Simba SC vs Fountain Gate FC 25/9/2025 Ligi Kuu ya NBC Mashabiki wa soka nchini wanatarajia burudani ya aina yake pale Simba SC itakapokutana na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hii ni moja ya mechi zinazovuta macho na masikio ya mashabiki kutokana na ushindani mkubwa wa ligi msimu huu. […]











