Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Vituo vya TIKETI Yanga vs Simba 8 March 2025

Filed in Michezo by on March 5, 2025 0 Comments

Vituo vya TIKETI Yanga vs Simba 8 March 2025 Mechi kati ya Yanga SC na Simba SC daima imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania. Kwa kuwa mchezo huu wa watani wa jadi unatarajiwa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025, mashabiki wanajiandaa mapema kupata tiketi zao. Katika makala hii, tunakupa maelezo ya kina kuhusu […]

Continue Reading »

Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025

Filed in Michezo by on March 5, 2025 0 Comments

Viingilio Mechi ya Derby Yanga vs Simba 8 Machi 2025 Mechi kati ya Yanga SC na Simba SC ni moja ya michezo inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini Tanzania na hata Afrika Mashariki kwa ujumla. Kila mara timu hizi zinapokutana, viwanja hutikiswa na shangwe za mashabiki wakali wa soka. Tarehe 8 Machi […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba vs Coastal Union 01 March 2025

Filed in Michezo by on February 28, 2025 0 Comments

KIKOSI Cha Simba vs Coastal Union 01/02/2025 Leo Jumamosi ya tarehe 1 March 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi katika uwanja wa Al Hassan Mwinyi kwa mchezo mmoja utao zikutanisha timu za Simba SC vs Coastal Union Huku mwenyeji wa mchezo huo ikiwa ni klabu ya Coastal Union. Mchezo huu unatarajiwa […]

Continue Reading »

Ratiba ya Nusu Fainali Samia Women Super Cup 2025

Filed in Michezo by on February 28, 2025 0 Comments

Ratiba ya Nusu Fainali Samia Women Super Cup 2025 Michuano ya Samia Women Super Cup 2025 imefikia hatua ya nusu fainali, ikileta msisimko mkubwa kwa wapenzi wa soka la wanawake nchini Tanzania. Timu nne zimefuzu katika hatua hii muhimu, na mechi zinatarajiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu. Katika makala hii, tutakuletea ratiba kamili […]

Continue Reading »

MATOKEO Coastal Union vs Simba SC 01/03/2025

Filed in Michezo by on February 28, 2025 0 Comments

MATOKEO Coastal Union vs Simba SC 01/03/2025 Leo tarehe 1 Morch 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi huku klabu ya Coastal Union ikiwakaribisha Simba Sc mkoani Tanga. Mchi hii ya Coastal Union vs Simba SC inataeajiwa kuchezwa katika mkoa wa Arusha huku Coastal wakiwa ndio wenyeji wa mchezo, mchezo utakaopigwa […]

Continue Reading »

Magazeti ya Leo Jumamosi 01 March 2025

Filed in Magazeti by on February 28, 2025 0 Comments
Magazeti ya Leo Jumamosi 01 March 2025

Magazeti ya Leo Jumamosi 01 March 2025 Habari ya wakati huu mwanakisiwa24 Blog, karibu katika kurasa hii ya magazerti hapa utapata furusa ya kuweza kusoma vichwa vya habari zilivyoweza kupewa nguvu katika kurasa za mbele za magazeti ya leo Jumamosi ya march 1, 2025. Tunapowasilisha muhtasari wa habari kuu zilizogonga vichwa vya habari katika magazeti […]

Continue Reading »

Tecno Camon 30 Pro Bei na Sifa Kamili

Filed in Phone Review, Tecno Phone by on February 26, 2025 0 Comments

Tecno Camon 30 Pro Bei na Sifa Kamili Simu ya Tecno Camon 30 Pro ilitangazwa rasmi mwezi Februari 2024 na ikazinduliwa sokoni mnamo Aprili 2024. Hii ni simu ya daraja la kati (midrange), hivyo bei yake ipo kati ya simu za bei nafuu na za daraja la juu. Kwa wale wanaotaka kumiliki simu yenye utendaji […]

Continue Reading »

Tecno Camon 30 Premier Bei na Sifa Kamili

Filed in Phone Review, Tecno Phone by on February 26, 2025 0 Comments

Tecno Camon 30 Premier Bei na Sifa Kamili Tecno imeendelea kuvutia wapenzi wa simu za kisasa kwa kuzindua Tecno Camon 30 Premier, simu yenye teknolojia ya kisasa, utendaji wa juu, na kamera za hali ya juu. Ikiwa na mfumo wa 5G, processor yenye nguvu, na display bora, Tecno Camon 30 Premier imeundwa kushindana na simu […]

Continue Reading »

Tecno Camon 30 Bei na Sifa Kamili

Filed in Phone Review by on February 26, 2025 0 Comments

Tecno Camon 30 Bei na Sifa Kamili Tecno Camon 30 ni simu mpya kutoka Tecno iliyotangazwa mnamo Februari 27, 2024, na kuingia sokoni rasmi mnamo Aprili 2, 2024. Simu hii inajivunia teknolojia ya kisasa, muundo wa kuvutia, na vipengele vya hali ya juu vinavyolenga kuboresha uzoefu wa mtumiaji. Katika makala hii, tutachambua sifa za Tecno […]

Continue Reading »

Orodha ya Vyuo vya Nursing Tanzania

Filed in Vyuo vya Afya Tanzania by on February 26, 2025 0 Comments

Orodha ya Vyuo vya Nursing Tanzania – List of Nursing Colleges in Tanzania Unesi ni taaluma muhimu katika sekta ya afya, inayohitaji mafunzo maalum ili kuwahudumia wagonjwa kwa ufanisi. Tanzania ina vyuo vingi vinavyotoa mafunzo ya unesi kwa ngazi tofauti. Katika makala hii, tutakupa orodha kamili ya vyuo vya unesi Tanzania pamoja na maelezo muhimu […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!