Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Ratiba ya Makundi FIFA Club World Cup 2025

Filed in Michezo by on May 2, 2025 0 Comments

FIFA Club World Cup 2025 inatarajiwa kuwa moja ya michuano mikubwa zaidi kuwahi kufanyika katika historia ya soka la vilabu. Kwa mara ya kwanza, mashindano haya yatahusisha timu 32 kutoka mabara mbalimbali, na yatafanyika nchini Marekani kuanzia 14 Juni hadi 13 Julai 2025. Tofauti na toleo la zamani la timu 7, toleo hili jipya linachukua […]

Continue Reading »

Ada na Kozi za Kujiunga Chuo cha Kodi (ITA) 2025/2026

Filed in Vyuo Mbali Mbali Tanzania by on May 2, 2025 0 Comments

Chuo cha Kodi Tanzania (Institute of Tax Administration – ITA) ni taasisi ya elimu ya juu iliyo chini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inayotoa elimu ya kodi, usimamizi wa mapato, na masuala ya fedha kwa kiwango cha juu. Ikiwa unatafuta taarifa kamili kuhusu ada za kujiunga na kozi zinazotolewa, basi uko mahali sahihi. Makala […]

Continue Reading »

Sifa Za Kujiunga Chuo Cha Kodi (ITA) 2025/2026

Filed in Elimu by on May 2, 2025 0 Comments

Ikiwa unatafuta taaluma inayolipa na yenye fursa nyingi za ajira nchini Tanzania na hata kimataifa, basi Chuo cha Kodi (Institute of Tax Administration – ITA) ni chaguo sahihi. Chuo hiki ni taasisi ya elimu ya juu inayomilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikijikita zaidi katika kutoa mafunzo ya kodi, usimamizi wa mapato, na taaluma […]

Continue Reading »

Kikosi cha Yanga Sc vs JKU Sc leo 1 May 2025

Filed in Michezo by on May 1, 2025 0 Comments

Leo ndio fainali za kombe la muungano CUP lililokua likifanyika Zanzibar. Fainali hizo zitaenda kuanza majira ya saa 19:00 za jioni kwa kuzikutanisha timu za Yanga sc vs JKU Sc. Kuelekea mchezo huo kisiwa24 Blog tunakuletea kikosi cha Yanga Sc kitakachoenda kukipiga na na klabu ya JKU Sc kweye fainbali hiyo ya Muungano CUP kuanzia […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kujiunga na Chuo cha Biashara (CBE) 2025/2026

Filed in Vyuo Mbali Mbali Tanzania by on May 1, 2025 0 Comments

Chuo cha Biashara (CBE) ni mojawapo ya taasisi bora za elimu ya juu nchini Tanzania zinazotoa kozi mbalimbali za biashara, teknolojia, uhasibu na sheria. Ikiwa unataka kujiunga na CBE, makala hii itakuongoza hatua kwa hatua kuanzia sifa za kujiunga hadi mchakato wa maombi. CBE Ni Chuo Gani? Chuo cha Biashara (CBE) kilianzishwa mwaka 1965 kwa […]

Continue Reading »

VIINGILIO Simba Sc vs Mashujaa 5 May 2025

Filed in Michezo by on May 1, 2025 0 Comments

Baada ya kipindi kilefu klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sc kusimama kucheza mechi za ligi kuu ya NBC Tanzania bara hatimae 2 May 2025 inarejea tena katika michuano ya ligi kuu ya NBC kwa kuwakaribisha Mashujaa FC katika uwanja wa KMC Complex majira yasaa 4:00 jioni jijini Dar es Salaam. Kuelekea mchezo huo Simba […]

Continue Reading »

Timu za Afrika Zilizofuzu Kushiriki FIFA Club World Cup 2025

Filed in Michezo by on April 30, 2025 0 Comments

FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Katika makala hii, tutaangazia vilabu vya Afrika […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki

Filed in Makala by on April 30, 2025 0 Comments

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki, Muundo wa barua ya Kirafiki, Mfano wa Barua ya kirafiki, Ndugu karibu katika kurasa hii ambayo itaenda kukupa maelekezao ya kina juu ya jinsi ya kuandika barua ya kirafiki wa usahihi huku tukiangazia vitiu vya kuzingatia wakati wa uandishi wa barua ya kirafiki,muundo wa barua ya kirafiki unavyakua na […]

Continue Reading »

Fomu za Kujiunga na Chuo Cha Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) 2025/2026

Filed in Makala by on April 30, 2025 0 Comments

Chuo cha Sanaa Bagamoyo, maarufu kama TaSUBa (Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), ni moja kati ya taasisi mashuhuri zinazotoa mafunzo ya sanaa nchini Tanzania. Kwa wale wanaotafuta elimu bora katika fani ya sanaa ya maonyesho, muziki, uchoraji, uigizaji, na sanaa nyingine za mawasiliano, basi TaSUBa ni mahali sahihi pa kujiunga. Makala hii itaeleza jinsi […]

Continue Reading »

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) 2025/2026

Filed in Makala by on April 30, 2025 0 Comments

Chuo cha Sanaa Bagamoyo maarufu kama TaSUBa (Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo) ni taasisi mashuhuri nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya sanaa za maonyesho na utamaduni. Kwa miaka mingi, TaSUBa imekuwa chimbuko la vipaji lukuki vya wasanii wa filamu, muziki, ngoma za jadi, uchoraji na maigizo. Ikiwa unatafuta kujiunga na chuo hiki, makala hii itakueleza […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!