Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha

December 23, 2025

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

December 21, 2025

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

December 21, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Elimu»Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Arusha Technical College
Elimu

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Arusha Technical College

Kisiwa24By Kisiwa24June 24, 2025No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Arusha Technical College, Habari ya wakati huu mwana Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo tutaenda kukupa maelekezo juu ya Ada,fomu, kozi na sifa za kujiunga na chuo cha Arusha Technical Collage. Kama unatarajia kujiunga na chuo cha Ausha tech Collage basi hunabudi kusoma makala hii hadi mwisho kwani itakupa mwangaza wa mambo ya msingi kama vile ada za kozi mbali mbali katika chuo cha Arusha Technical Collage, fomu ya kujiunga na sifa na vigezo vya kujiunga na chuo.

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Arusha Technical College

Kuhusu Arusha Technical Collage

Chuo cha Arusha Technical Collage kilianzishwa mwaka 1978 kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ujerumani inayojulikana pia kwa jina la FRG-Federal Republic of Germany “West Germany”, kwa jina la Chuo cha Ufundi Arusha (TCA). Wilaya ya Kati ya Biashara ya Jiji la Arusha ambalo ni kitovu cha Kaskazini mwa Tanzania cha kilimo, biashara, biashara na utalii. Jiji la Arusha pia ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na ni kitovu cha Afrika kati ya Cape Town na Cairo. Imezungukwa. na milima maarufu kama vile Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru. Aidha, ni mlango wa makimbilio makubwa ya wanyamapori duniani ikiwemo Ngorongoro Crater, Serengeti na Tarangire. Yote haya hufanya eneo la Chuo kuwa mahali pazuri pa kusoma. Sehemu ya majukumu ya ATC wakati wa kuanzishwa kwake ilikuwa kutoa mafunzo kwa mafundi kwa miaka mitatu hadi ngazi ya Cheti cha Ufundi Kamili (FTC) katika fani za Uhandisi wa Magari, Uhandisi Ujenzi, Uhandisi Umeme, Uhandisi Usafirishaji na Uhandisi Mitambo. Mnamo Machi 2007, jina lilibadilishwa na kuwa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kupitia Agizo la Uanzishwaji wa Chuo cha Ufundi Arusha Namba 78 kama ilivyowezeshwa na Sheria ya NACTE namba 9 ya 1997. taasisi ya elimu ya juu.

Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Arusha Technical College

Kozi Zinazotolewa na Chuo Cha Arusha Technical Collage

Chuo cha Arusha Technical Collage kinatoa kozi mbali mbali katika ngazi za diploma na digrii hapa chini tunaenda kukuwekea kozi kwa kila ngazi ya elimu

Kozi za Diploma (Astashahada) Zitolewazo na Chuo cha Arusha Technical Collage

  1. Diploma ya Uhandisi Ujenzi
  2. Diploma ya Uhandisi Umeme wa Maji
  3. Diploma ya Uhandisi wa Mitambo ya Mafuta na Gesi
  4. Diploma ya Uhandisi Mawasiliano
  5. Diploma ya Tehama
  6. Diploma ya Uhandisi Magari

Kozi za Digrii (Shahada) Zitolewazo na Chuo cha Arusha Technical Collage

  1. Shahada ya Uhandisi wa Umeme na Kiotomatiki
  2. Shahada ya Uhandisi wa Nishati Mbadala
  3. Shahada ya Sayansi ya Kompyuta
  4. Shahada ya Uhandisi wa Mitambo
  5. Shahada ya Uhandisi wa Maabara na Teknolojia ya Viwanda

Ada za Chuo cha Arusha Technical Collage katika Kozi Mbali Mbali

Hapa tunaenda kukupa maelezo ya kina juu ya ada za kozi zinazotolewa katika chuo cha Arusha technial Collage,

Ada ya Kozi ya Diploma (Astashahada)

  • Ada kwa mwaka ni kati ya Tsh 1,200,000 – 1,500,000

Ada ya Kozi ya Digrii (Shahada)

  • Ada kwa mwaka ni kati ya Tsh 1,500,000 – 2,000,000

Fomu ya Kujiunga Na Chuo Cha Ufundi Cha Arusha Technical Collage

Fomu za kujiunga na chuo cha ufundi cha Arusha Technical Collage zinapatika moja kwa moja kwenye wavuti kuu ya chuo, Ili kupata fomu ya maombi tafadhari fuata hatua zifuatazo hapa chini;

1. Kwanza tembelea tovuti ya chuo cha ufundi cha Arusha Technical Collage kupitia linki hii –  https://www.atc.ac.tz/

2. Ndani ya tovuti nenda kwenye menu iliyoandikwa ICT service kisha tafuta electronic Payment (GePG)

3. Bonyeza hapo ili kupata namba ya malipo ili kufanya malipo(hakikisha umesha jisajili katika mfumowa tovuti ya chuo)

4. Baada ya kupata namba ya malipo fanya malipo kupitia simu au banki, malipo ya fomu ni Tsh 20,000 tu.

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ufundi Cha Arusha Technical Collage

Ili kujiunga na kozi zitolewazo na chuo cha ufundi cha Arusha Technical Collage lazima mwanafunzi aweze kukizi sifa na vigezo vya kozi ya ngazo husika.Hapa tutaenda kukuonyesha sifa kwa kila ngazi na kozi zake;

Sifa za Kujiunga na Kozi za Diploma katika Chuo Cha Ufundi Cha Arusha

1. Awe amehitimu kidato cha Nne na alama za ufaulu wa angalau D nne ikiwemo Hisabati na Sayansi

2. Awe amehitimu kidato cha Sita na alama za ufaulu wa angalau E mbili katika masomo ya sayansi

Sifa Za Kujiunga na Kozi za Digrii katika Chuo Cha Ufundi Cha Arusha

1. Awe amehitimu kidato cha Sita na alama za ufaulu wa angalau D mbili katika masomo ya sayansi.

2. Awe ana stashahada ya Ufundi kutoka chuo kinachotambulika na NACTE.

Chuo cha ufundi cha Arusha Technical Collage ni chuo bora cha ufundi na kinatoa kozi katika ngazi za diploma (Astashahada) na digrii (Shahada). Ili kujiunga na kozi zinazotolewa katika chuo hiki lazima mwanafunzi aweze kukidhi sifa na vigezo kulingana na kozi husika kwa kujaza fomu kutoka katika tovuti ya chuo na kulipia ada ya fomu ya Tsh 20,00.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleBei Ya Friji Za Boss 2025
Next Article Ada Na Kozi Zinazotolewa Na Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
Kisiwa24

Related Posts

Elimu

Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha

December 23, 2025
Elimu

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha University of Dar es salaam Computing Center (UCC)

December 21, 2025
Elimu

Sifa za Kujiunga Archbishop Mihayo University College of Tabora

December 21, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha
  • NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
  • NAFASI Za Kazi Standard Bank Group
  • NAFASI za Kazi Yas Tanzania
  • Sifa za Kujiunga na Chuo Cha University of Dar es salaam Computing Center (UCC)

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

December 21, 20252,213 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025795 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025453 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.