Close Menu

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Makala
    • Michezo
    • Usaili
    • Kuitwa Kazini
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    Home » Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
    Makala

    Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Kisiwa24By Kisiwa24March 13, 2025Updated:March 13, 2025No Comments4 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo, Habari mwana ya wakati huu mwana Habarika24 karibu tena katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa maelezo ya kina juu ya ada, fomu, kozi na sifa za kujiunga na  chuo cha ADAM Bagamoyo.

    Kama wewe ni mwanafunzi unayetaka kujiunga na chuo cha ADEM Bagamoyo basi makala hii itakua na umuhimu sana kwa upande wako kwani itaenda kukupa mwongozo wa kina kuhusu ada, fomu, kozi na sifa za kujiunga na chuo cha ADEM Bagamoyo

    Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Kozi Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Chuo cha ADEM Bagamoyo kinatoa kozi mbali mbali kwa ngazi za cheti na diploma, hapa chini tutaenda kukuonyesha kozi zote zinazotelewa na chuo cha ADEM Bagamoyo katika ngazi zote;

    Kozi za Cheti Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Hapa chini tutaenda kuangali kozi zote za cheti (Astashahad) zinazotolewa na chuo cha ADEM Bagamoyo

    • Kozi ya Cheti cha Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (CELMA)
    • Kozi ya Cheti cha Ufundi cha Uthibiti wa Shule

    Kozi za Diploma Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    • Kozi ya Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSI)
    • Kozi ya Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA)

    Ada ya Chuo cha ADEM Bagamoyo katika Kozi Mbali Mbali

    Hapa tutaenda kuangalia juu ya ada zinazotozwa na chuo cha ADEM Bagamoyo katika kozi mbali mbali, ada hutofautiana kutoka kozi moja hadi nyingine kulingana na gazi ya kozi husika.

    Ada ya Kozi za Cheti Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Hapa chini tutaenda kuangali kozi zote za cheti (Astashahad) zinazotolewa na chuo cha ADEM Bagamoyo

    Kozi ya Cheti cha Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (CELMA)

    • Ada ya kozi hii ni Tsh 500,0o0 kwa mwaka

    Kozi ya Cheti cha Ufundi cha Uthibiti wa Shule

    • Ada ya kozi hii ni Tsh 500,00 kwa mwaka

    Ada ya Kozi za Diploma Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Kozi ya Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSI)

    • Ada ya kozi hii ni Tsh 850,000 kwa mwaka

    Kozi ya Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA)

    • Ada ya kozi hii ni Tsh 850,000 kwa mwaka

    Fomu ya Kujiunga Na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Fomu ya maombi ya kujiunga na chuo cha ADEM Bagamoyo zinapatika kwa njia mbili ambazo ni;

    1. Kwa kuingia kwenye tovuti ya chuo tumia linki hii – www.adem.ac.tz
    2. Kwa kutembelea ofisi za chuo cha ADEM Bagamoyo

    Baada ya kupata fomu tafadhari jaza taarifa za msingi kulingana na kozi unayotaka kusoma na kisha ufanye malipo ya ada ya usajili na kuripotisha fomu hiyo katika ofisi za chuo cha ADEM Bagamoyo ukiambatanisha na risiti ya malipo.

    Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo

    Hapa tunaenda kutazama sifa na vigezo vinavyotumia kusaili wanafunzi kwa kila kozi kulingana na ngazi ya kozi husika;

    Sifa za kujiunga na Kozi za Cheti katika Chuo cha ADEM Bagamoyo

    Kozi ya Cheti cha Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (CELMA)

    • Mwombaji anapaswa awe na ufaulu wa CSEE na D nne katika masomo yasiyo ya dini

    Kozi ya Cheti cha Ufundi cha Uthibiti wa Shule

    • Mwombaji anapaswa awe na ufaulu wa CSEE

    Sifa za kujiunga na Kozi za Cheti katika Chuo cha ADEM Bagamoyo

    Kozi ya Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSI)

    • Mwombaji anatakiwa awe na uzoefu wa miaka 3 kazini na ufaulu wa CSEE na D nne katika masomo yasiyo ya dini.

    Kozi ya Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA)

    • Mwombaji anatakiwa awe na uzoefu wa miaka 3 kazini na ufaulu wa CSEE na D nne katika masomo yasiyo ya dini.

    Mapendekezo ya Mhariri;

    1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro

    2. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Mwanza

    3. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Arusha

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kisiwa24
    • Website

    Related Posts

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025

    Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

    October 9, 2025

    Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

    October 8, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025877 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Covid-19 Statistics

    [rb_covid countries_code=’CN’ countries_label=’China’ columns=1]

    Most Popular

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025877 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Our Picks

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.