Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo, Habari mwana ya wakati huu mwana Habarika24 karibu tena katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa maelezo ya kina juu ya ada, fomu, kozi na sifa za kujiunga na chuo cha ADAM Bagamoyo.
Kama wewe ni mwanafunzi unayetaka kujiunga na chuo cha ADEM Bagamoyo basi makala hii itakua na umuhimu sana kwa upande wako kwani itaenda kukupa mwongozo wa kina kuhusu ada, fomu, kozi na sifa za kujiunga na chuo cha ADEM Bagamoyo
Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Kozi Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Chuo cha ADEM Bagamoyo kinatoa kozi mbali mbali kwa ngazi za cheti na diploma, hapa chini tutaenda kukuonyesha kozi zote zinazotelewa na chuo cha ADEM Bagamoyo katika ngazi zote;
Kozi za Cheti Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Hapa chini tutaenda kuangali kozi zote za cheti (Astashahad) zinazotolewa na chuo cha ADEM Bagamoyo
- Kozi ya Cheti cha Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (CELMA)
- Kozi ya Cheti cha Ufundi cha Uthibiti wa Shule
Kozi za Diploma Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
- Kozi ya Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSI)
- Kozi ya Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA)
Ada ya Chuo cha ADEM Bagamoyo katika Kozi Mbali Mbali
Hapa tutaenda kuangalia juu ya ada zinazotozwa na chuo cha ADEM Bagamoyo katika kozi mbali mbali, ada hutofautiana kutoka kozi moja hadi nyingine kulingana na gazi ya kozi husika.
Ada ya Kozi za Cheti Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Hapa chini tutaenda kuangali kozi zote za cheti (Astashahad) zinazotolewa na chuo cha ADEM Bagamoyo
Kozi ya Cheti cha Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (CELMA)
- Ada ya kozi hii ni Tsh 500,0o0 kwa mwaka
Kozi ya Cheti cha Ufundi cha Uthibiti wa Shule
- Ada ya kozi hii ni Tsh 500,00 kwa mwaka
Ada ya Kozi za Diploma Zinazotolewa na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Kozi ya Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSI)
- Ada ya kozi hii ni Tsh 850,000 kwa mwaka
Kozi ya Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA)
- Ada ya kozi hii ni Tsh 850,000 kwa mwaka
Fomu ya Kujiunga Na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Fomu ya maombi ya kujiunga na chuo cha ADEM Bagamoyo zinapatika kwa njia mbili ambazo ni;
- Kwa kuingia kwenye tovuti ya chuo tumia linki hii – www.adem.ac.tz
- Kwa kutembelea ofisi za chuo cha ADEM Bagamoyo
Baada ya kupata fomu tafadhari jaza taarifa za msingi kulingana na kozi unayotaka kusoma na kisha ufanye malipo ya ada ya usajili na kuripotisha fomu hiyo katika ofisi za chuo cha ADEM Bagamoyo ukiambatanisha na risiti ya malipo.
Sifa za Kujiunga na Chuo Cha ADEM Bagamoyo
Hapa tunaenda kutazama sifa na vigezo vinavyotumia kusaili wanafunzi kwa kila kozi kulingana na ngazi ya kozi husika;
Sifa za kujiunga na Kozi za Cheti katika Chuo cha ADEM Bagamoyo
Kozi ya Cheti cha Uongozi, Usimamizi na Utawala wa Elimu (CELMA)
- Mwombaji anapaswa awe na ufaulu wa CSEE na D nne katika masomo yasiyo ya dini
Kozi ya Cheti cha Ufundi cha Uthibiti wa Shule
- Mwombaji anapaswa awe na ufaulu wa CSEE
Sifa za kujiunga na Kozi za Cheti katika Chuo cha ADEM Bagamoyo
Kozi ya Diploma ya Uthibiti Ubora wa Shule (DSI)
- Mwombaji anatakiwa awe na uzoefu wa miaka 3 kazini na ufaulu wa CSEE na D nne katika masomo yasiyo ya dini.
Kozi ya Diploma ya Uongozi na Usimamizi wa Elimu (DEMA)
- Mwombaji anatakiwa awe na uzoefu wa miaka 3 kazini na ufaulu wa CSEE na D nne katika masomo yasiyo ya dini.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Ardhi Morogoro
2. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Mwanza
3. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Arusha