Nafasi 20 za Kazi Mhasibu Daraja la II At Ajira Portal Mei 2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
ii.Kuandika taarifa za maduhuli;
iii.Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
iv.Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;
v.Kukagua hati za malipo; na
vi.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.
REMUNERATION TGS.E