Kama unatafuta majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Ruvuma kwa mwaka wa masomo 2025/2026, umekuja mahali sahihi. Makala hii itakupa taarifa kamili kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mkoa wa Ruvuma 2025, mfumo wa kuangalia majina, na hatua zinazofuata baada ya kuchaguliwa.
Jinsi ya Kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Mkoa wa Ruvuma 2025
- Ingia kwenye tovuti ya TAMISEMI – www.tamisemi.go.tz.
- Chagua “Waliochaguliwa Kidato Cha Tano”.
- Tafuta mkoa wa Ruvuma au shule unayotaka.
- Pakua orodha na angalia jina lako.
Hapa chini ni listi ya ya Wilaya na shule itakusaidia kutazama jina lako kwa urahisi zaidi bonyeza kwenye wilaya uliosoma kutazama jina lako;
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI MAPEMA
CHAGUA HALMASHAURI
MADABA DC
MBINGA DC
MBINGA TC
NAMTUMBO DC
NYASA DC
SONGEA DC
SONGEA MC
TUNDURU DC
Ikiwa umefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano Ruvuma, hakikisha unafuata maagizo yote ya uandikishaji. Kama bado hujapata majina yako, angalia mara kwa mara kwenye vyanzo rasmi vya serikali.
Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara (FAQ)
1. Je, ninaweza kuangalia majina kwa simu?
Ndio, unaweza kutumia simu yako kuingia kwenye tovuti ya TAMISEMI au NECTA kuangalia majina.
2. Je, majina yatawekwa wakati gani?
Kwa kawaida, majina hutangazwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kutolewa. Kwa mwaka 2024/2025, majina yanatarajiwa kuchapishwa Novemba/Desemba.
3. Je, ninaweza kudai kama sijachaguliwa?
Ndio, unaweza kufanya malalamiko kupitia ofisi za TAMISEMI au wilaya yako.
4. Je, shule zinaweza kubadilishwa baada ya kuchaguliwa?
Mara nyingi, mabadiliko yanahitaji sababu maalum na ruhusa kutoka kwa TAMISEMI.