Kama unatafuta majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Rukwa mwaka 2025/2026, umekuja mahali sahihi. Katika makala hii, tutakupa orodha kamili ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mkoa wa Rukwa 2025, mwongozo wa kuangalia majina, na maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ) kuhusu uchaguzi huu.
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI MAPEMA
Jinsi ya Kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Mkoa wa Rukwa 2025
- Ingia kwenye tovuti ya TAMISEMI.
- Chagua mwaka wa masomo (2025).
- Weka jina lako au namba ya mtihani.
- Bonyeza “Search” ili kuona kama umechaguliwa.
Hapa chini ni listi ya ya Wilaya na shule itakusaidia kutazama jina lako kwa urahisi zaidi bonyeza kwenye wilaya uliosoma kutazama jina lako;
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI MAPEMA
CHAGUA HALMASHAURI
KALAMBO DC
NKASI DC
SUMBAWANGA DC
SUMBAWANGA MC
Ikiwa umefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano Rukwa, hongera! Hakikisha unafuata miongozo ya kujiandikisha na kuanza masomo kwa wakati. Kama hujaona jina lako, wasiliana na ofisi ya elimu ya wilaya kwa msaada zaidi.
FAQ: Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu Uchaguzi wa Kidato cha Tano
1. Je, ninaweza kuchaguliwa shule nyingine badala ya ile niliyoomba?
Ndio, TAMISEMI inaweza kukuweka shule tofauti kulingana na uwezo wa shule na alama zako.
2. Je, ninaweza kukataa shule nimechaguliwa?
Unaweza kufanya maombi ya kubadilishwa shule kupitia ofisi ya elimu wilayani, lakini mchakato huo una masharti.
3. Tarehe gani ratiba ya kidato cha tano Rukwa itaanza?
Kwa kawaida, mwanzo wa masomo huwa Januari, lakini tarehe kamili hutangazwa na TAMISEMI.
4. Je, naweza kuangalia majina bila mtandao?
Ndio, unaweza kutumia huduma za USSD au kutembelea ofisi za elimu wilayani.