Kama unatafuta majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Mwanza mwaka 2025/2026, umefika mahali sahihi. Makala hii itakupa taarifa kamili kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mkoa wa Mwanza 2025/2026, mfumo wa kuwatazama, na hatua za kufuata baada ya kuchaguliwa.
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI MAPEMA
Jinsi ya Kutazama Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano Mkoa wa Mwaza 2025.2026
Ili kutazama majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Mwanza, fuata hatua hizi:
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI – www.tamisemi.go.tz
- Bonyeza kwenye kiungo cha “Majina ya Waliochaguliwa Form Five“
- Chagua mkoa wa Mwanza na shule unayotaka
- Pakua faili na utazame majina yako
Hapa chini ni listi ya ya Wilaya na shule itakusaidia kutazama jina lako kwa urahisi zaidi bonyeza kwenye wilaya uliosoma kutazama jina lako;
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI MAPEMA
CHAGUA HALMASHAURI
BUCHOSA DC
ILEMELA MC
KWIMBA DC
MAGU DC
MISUNGWI DC
MWANZA CC
SENGEREMA DC
UKEREWE DC
Kama umepata majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Mwanza, hakikisha unafuata miongozo ili kukamilisha usajili. Kwa maelezo zaidi, tembelea www.tamisemi.go.tz au wasiliana na ofisi za elimu Mwanza.
Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara (FAQ)
1. Je, ninaweza kukata rufaa kama sijachaguliwa?
Ndio, unaweza kufanya malalamiko kupitia ofisi za TAMISEMI Mwanza.
2. Je, majina ya waliochaguliwa yanatolewa kila mwaka lini?
Kwa kawaida, hutolewa mwezi Agosti au Septemba.
3. Nimechaguliwa shule nisipoyataka, nawezaje kubadilisha?
Unaweza kufanya maombi ya kubadilishwa shule kupitia TAMISEMI, lakini inategemea na nafasi zilizopo.