KUTAZAMA MAJINA YOTE BONYEZA HAPA
Kama unatafuta majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Dodoma kwa mwaka wa masomo 2025/2026, umekuja mahali sahihi. Makala hii itakupa taarifa kamili kuhusu wanafunzi waliochaguliwa, mfumo wa kuangalia majina, na hatua zinazofuata baada ya kuchaguliwa.
Orodha ya Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Dodoma 2025
Tumehudhuria na kuona kuwa Wizara ya Elimu Tanzania (TAMISEMI) imetangaza majina ya waliochaguliwa kidato cha tano kwa mwaka 2025/2026. Orodha hii inajumuisha wanafunzi waliofaulu mtihani wa kidato cha nne (CSEE) na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule mbalimbali za Dodoma.
Namna ya Kuangalia Majina ya Waliochaguliwa
Ili kuona majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano Dodoma, fuata hatua hizi:
- Tembelea Tovuti ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz/
- Bonyeza kwenye kiungo cha “Selection Form Five”
- Chagua Mkoa wa Dodoma
- Ingiza namba yako ya mtihani (Index Number) au jina
- Bonyeza “Search” kuona matokeo yako
Mbadala wake, unaweza pia kuangalia majina kupitia ofisi za TAMISEMI Dodoma au shule uliyoomba.
Hapa chini ni listi ya ya Wilaya na shule itakusaidia kutazama jina lako kwa urahisi zaidi bonyeza kwenye wilaya uliosoma kutazama jina lako’
BAHI DC
CHAMWINO DC
CHEMBA DC
DODOMA CC
KONDOA DC
KONDOA TC
KONGWA DC
MPWAPWA DC