VIINGILIO Mechi ya Simba Sc vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
Baada ya Simba Sc kutinga hatua ya NUfu fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation CUP SEMI FINAL 2024/2025) Kwa kuchakaza klabu ya Al Masry kutoka nchini Misry kwa mikwaju ya penalti tarehe 20 April 2025 itaenda kuwakalibisha klabu ya Stellenbosnch Fc kutokea nchini Afrika ya kusini katika mchezo wake wa kwanza utakaofanyika katika uwanja wa Amaan ulioko Zanzibar uwanja wenye uwezo wa kuchukua mashabiki wapatao elfu 15.
Kuelekea mchezo huo wenyeji Simba Sc tayari washa tangaza viingilio vya mchezo huwa wa nusu fainali za kombe la shirikisho Afrika Simba Sc vs Stellenbosnch Fc na sisi Kisiwa24 Blog tukiwa kama wadau wa soka tumekuletea viingilio vyote vya mchezo huo;
VIINGILIO Mechi ya Simba Sc vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
VIP A: Tsh 40,000
VIP B URUSI : Tsh 20,000
MZUNGUKO ORBIT: Tsh 10,000
Jinsi ya kukata tiketi mechi ya Simba Sc vs Stellenbosnch Fc 20 April 2025 kwa njia ya mtandao BOFYA HAPA