Ratiba ya Simba Sc Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Rasmi Simba Sc klabu imetinga hatua ya nus Fainali za kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuchapa na kuitoa klabu ya Al Masry katika hatua ya robo fainali kwenye mchezo wa pili uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa mikwaju ya penalti. Katika mikwaju hiyo Simba Sc iliweza kushnda mikwaju 4 huku Al Masry waki shinda mkwaju mmoja na kupoteza mikwaju 2 iliyochezwa na kipa mashuhuti Moussa Camara na kupa ushidi Simba Sc hatimaye kutinga Nusu Fainali.
Simba baada ya kushinda ilikua ikisubili matokeo ya mchezo wa Stellenbosch na Zamalek SC zote za Afrka ya Kusini ili moja kuungana na Simba Kanika nusu fainali. Simba imeikalibisha Stellenbosch baada ya kuchakazi Zamarek kes goli 1 kwa 0 na hivyo kutinga nusu fainali kuivaa Simba Sc.
Baada ya matokeo hayo Shirikisho la mpira wa miguu Africa CAF tayari limesha tangaza ratiba ya nusu fainali ya mchezo wa Simba vs Stellenbosch.
Simba Sc itaanza mchezo wake wa kwanza wa nusu fainali nyumbani katika uwaja wa Benjamin mkapa kunako tarehe 20 April 2025. Huku mchezo wa 2 ukifanyika siku ya 27 Apeil 2025 Simba itasafiri kuelekea nchini nAfrika ya Kusini
Ratiba ya Simba Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Hpa chini Ni ratiba ya Simba Sc Nusu fainali kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
- Simba Sc vs Stellenbosch (20 April 2025)
- Stellenbosch. vs Simba Sc (27 April 2025)