MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 09 April 2025
Baada ya mchezo wa Awamu ya kwanza wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kati ya Al Masry vs Simba Sc uliofanyika nchini Misri na Simba kuweza kupoteza kwa kufungwa goli 2 kwa 0, leo tarehe 09/04/2025 mchezo wa marudiano unaenda kuchezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog tunakuletea kikosi cha Mnyama Simba kitakachoenda kucheza leo katika mchezo huu wa Simba Sc dhidi ya Al Masry ya Misri, Simba vs Al Masry
Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 09 April 2025
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA