Majina Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za TRA – March 2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na.11 ya mwaka 1995, na ilianza
29 Machi, 2025. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
kazi aliyoomba.
8.Msailiwa ataruhusiwa kufanya usaili baada ya kukamilsha uhakik wa vyeti na kukidhi sifa za
–
5.Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, Transcript,
(Transcript).
6.Kwa waombaji waiosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikwa na
Kuimarisha Ulipaji Kodi wa Hiari kwa Maendeleo Endelevu’’.
mpaka 19 Februari, 2025kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kwa hatua mbalimbali kuanzia tarehe
1.Usail utafanyikakwa tarehe kama ilvyooneshwa kwenye tangazo hili ikiainisha siku, mudana
Halis vya Usajili na Leseni za kufanyia kazi(kwa wanaohusika).
kuanzishwa kwake imekuwakiandaa na kutekeleza mipango kaz wa miaka mitano mitano, aidha
hati za matokeo za kdato cha IV na VI (form V and form VI results slips)bila kuwa na vyeti halisi
10.Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
3.Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho
kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996na kukasimiwa Mamlaka ya Kutathimini, Kukusanyana kuhasibu
iliyotumwa kwenye anuani yake ya barua pepe. Namba hyo itatumika wakati wa usaili.
cha Kuzaliwa, Kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada
ya Mtaa/Kijijiunachotoka. Vitambulisho Tofauti na Vilivyoainishwa Havitatambuliwa.
sehemuambapo usaii utafanyikakwa kila Kada.
kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA).
11.Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na kituo alichopangiwa kufanyia usaili.
12.Msailiwa haruhusiwi kuja na simu, saa au kifaa chochote cha kelekroniki kwenye eneo la usaili.
ya Mapato Inayoaminika kwa Maendeleo ya Jamii na Kiuchumi’’na Dhamira ya ‘‘Kurahisisha na
TRA napenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuanzia tarehe 06 Februari, 2025
13.Wasailiwa wenye mahitaji maaum wanashauriwa kufika mapema na kuripoti kwa Msimamizi wa
kwasasa TRA inatekeeza mpango kazi wa sita(CP6:2022/23 -2026/27) wenyeDira ya kuwa ‘‘Taasisi
nakuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.Pia Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na
9.Uhakki wa vyeti utaanza Saa 12.00 Asubuhi kwa ratiba ya asubuh na Saa 6.00 Mchana kwa
vinavyokubalika ni pamoja na: -Kitambulisho cha Uraia, Ktambulisho cha Mkaazi, Kitambulisho
7.Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodiza Kitaaluma wanapaswa kuja na vyet vyao
nakala (Photocopy) za vyeti vya kitaaluma pamoja na hati za matokeoza vyuo
HAWATAKUBALIWA KUENDELEA NA USAILI.
2.Kila Msailiwa anapaswa kufika na barua ya kuitwa kwenye usaili yenye namba ya mtahiniwa
mapato ya Serikali kwa mujibu wa shera.Katika kuhakikisha kuwa Mamlaka inatimiza kusudi la
cha Mpiga Kura, Leseni ya Udereva, Hati ya kusafiria au Barua ya Utambulisho kutokaSerikali
4.Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI(Originalcertificates) kuanzia Cheti
ratiba ya mchana.
Kituo ili kupatiwa msaada utakaohitajika.
14.Waombaji kazi ambao majna yao hayakuonekana katika tangazo hil watambue kuwa
Imetolewa na;
Namba za simu bila malipo: 0800 780078 au 0800750075
WhatsApp: 0744 23 33 33
‘‘Pamoja Tunajenga Taifa Letu’’
Tovuti: www.tra.go.tz
Barua pepe: [email protected] [email protected]
Kwa taarifa zaidi tumia mawasilianoyafuatayo:
hawakukdhi vigezo vya awali. Hivyo, wasisite kuomba tena pind nafasi za kazi
zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
Idara ya Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utaw