Nafasi za Kazi – Marketing Assistants and Go Down Staffs at Luckywell Limited March 2025
Nafasi za Kazi – Marketing Assistants and Go Down Staffs at Luckywell Limited March 2025
MKOA: DAR ES SALAAM, TANZANIA
QUALIFICATIONS:
- Mhitimu wa kidato cha nne
- Lazima ujue kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili
- Leseni ya kuendesha gari
- Lazima kujua jinsi ya kuendesha pikipiki
- Umri kati ya 20-35
- Lazima uwe na cheti kutoka kwa kazi ya awali
- Waamuzi wote lazima wawe Dar es salaam
Soma Hii>>Finance Director at DCB Commercial Bank March 2025
Waombaji wote waje na nyaraka zao (CV, Barua ya Maombi, Leseni ya Udereva, Barua ya Utangulizi kutoka serikali ya mtaa, Vyeti vya Elimu, Cheti cha kuzaliwa, Barua ya Mapendekezo kutoka kwa waamuzi wako) ofisini kwetu, zilizopo MIKOCHENI, MTAA WA NGORONGORO-HOUSE NO. 18.
CV zote zinapokelewa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi
CONTACT: 0679 799 999
ADVERTISEMENT
LUCKYWELL LIMITED
MIKOCHENI, WARIOBA
NGORONGORO ST
HOUSE NO. 18