Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Mabadiliko Ya Tarehe Usaili wa Mahojiano Ajira za Uwalimu Daraja IIIC Kiswahili 2024/2025
Ajira

Mabadiliko Ya Tarehe Usaili wa Mahojiano Ajira za Uwalimu Daraja IIIC Kiswahili 2024/2025

Kisiwa24By Kisiwa24January 26, 2025No Comments1 Min Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mabadiliko Ya Tarehe Usaili wa Mahijiano Ajira za Uwalimu Daraja IIIC Kiswahili 2024/2025

Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuujulisha umma kuwa usaili wa Walimu Daraja la IIIC – Kiswahili uliopangwa kufanyika tarehe 28 Januari, 2025 katika vituo mbalimbali nchini, sasa utafanyika tarehe 30 Januari, 2025 kuanzia saa 1.00 Asubuhi.

Mabadiliko haya yametokana na uwepo wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Jijini Dar es Salaam, uliosababisha kufungwa kwa baadhi ya barabara tarehe 27 na 28 Januari, 2024.

Hali hii inaweza kusababisha changamoto ya usafiri kwa wasailiwa wanaotoka katika Jiji hilo na hivyo kushindwa kufika katika vituo vyao vya usaili kwa wakati.

Tarehe nyingine za usaili, mahali pa kufanyia usaili na muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye
matangazo ya awali ya kuitwa kwenye usaili.

Bonyeza HAPA Kupakua Tangazo Kamili

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleTimu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025
Next Article Nafasi za Kazi Ajira Portal Tanzania 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025952 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025786 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025446 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.