WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
KWA MATANGOZO YA AJIRA MPYA KILA SIKU BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on January 26, 2025 0 Comments

Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025

Bonyeza HAPA kupakua Majina Yote

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Nafasi za Kazi :- Waiter\waitress at Ramada Resort Hotel

2. Nafasi 2 za Kazi at GmGems Innovate Africa

3. Nafasi 5 za Kazi at Barrick Gold Mine

4. Nafasi za Kazi:- Accountant at Africa Relief

5. Nafasi za Kazi :- Warehouse Operator at Mapinga Premium Foods

KWA MATANGOZO YA AJIRA MPYA KILA SIKU BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tags: ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *