Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2025
Kuelekea mchezo wa Yana vs MC Alger utakaochzwa tarehe 18 January 2025 ikiwa ni mchezo wa roundi ya 6 na mwisho ya hatua ya makundi tayari bei za tiketi za viingilio kwenye mchezo huo zimesha tangazwa. Pia vituo mbalimbali ambavyo vitatoa huduma kwa mashabiki kuweza kununua tiketi za mchezo huo tayari vimesha tangazwa pia.
Ikiwa sisi kama Kisiwa24 blog ni jukumu letu kukupasha habari kuhusu mchezo huu wa ligi ya mabingwa katika kundi A pia ni wajibu wetu kukupa maelezo ya wapi au ni vituo vipi vitakavyoweza kutumika katika kununulia tiketi za mechi hii ya Yanga vs MC Alger 18 january 2025.
Siku na Muda wa Mchezo
Mchezo huu unatarajiwa kufanyika siku ya Jumamos ya tarehee 18/01/2025 katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam kunako majira ya saa 10 za jioni.
Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger 18/01/2025
Hapa chini ni orodha ya Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs MC Alger
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Lampard Electronics
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhiem)
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Kivukoni
- Juma Burrah – Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders
Ili kufanikisha matarajio ya klabu ya Yanga, Msemaji wa Yanga Ally Kamwe ana wasihi mashabi kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamini Mkapa ili kuweza kusapoti timu yao katika mchezo muhimu kama huu wa kusaka nafasi ya kuweza kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. KIKOSI Yanga Vs MC Alger Leo 18 January 2025
2. Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Ni Saa ngapi?
3. MATOKEO Yanga vs MC Alger 18/01/2025
4. CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga
5. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025
6. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025