Nafasi za Kazi Fiziotherapia Daraja La II MDAs na LGAs January 2025
MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.
Nasafi Iliyopo: FIZIOTHERAPIA DARAJA LA II (PHYSIOTHERAPIST II)
Idadi ya Nafasi – 40 POST
Maelezo ya Kazi
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kutoa tiba kwa kuzoeza viungo/ kwa vitendo.
ii.Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa.
iii.Kutunza vifaa vya Idara.
iv.Kutoa elimu ya Afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu.
v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Fiziotherapia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa kwa usajili wa kudumu (Full Registration Practitioners) na Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATION TGHS-B
Mwisho wa kutuma maombi ni 20 January 2025.
NB: Kumbuka maombi yote yanatakiwa kufanyika kupitia website ya Ajira Portal, kama bado hujafungua akaunti Ajira portal fungua sasa kwa kubonyeza HAPA